sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

    Wakuu, Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni lazima uhudhurie kwa miezi 9. Watu wamelalama kuhusu hili lakini askofu wala hana habari sana paroko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  3. JamiiForums Tanzania Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

    Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council. The world has changed. Global governance must change with it. We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world. Chanzo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

    Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected! "Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7, Mliopata hongereni, ambao bado msikate...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumpa kichapo dingi iwapo anampiga mama?

    Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  9. JamiiForums Tanzania UHAINI: Tafsiri sahihi ya kosa na adhabu yake kwa mujibu wa Sheria za Tanzania

    Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu wanawake kukimbilia mikopo ‘kausha damu’

    Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha. Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Wanabodi. Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama. Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  13. JamiiForums Tanzania Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi lakini, Feedback (Mrejesho wa taarifa) ni muhimu zaidi

    Leo, nimetenga muda wangu kupitia maoni ya ndugu zangu kuhusiana na changamoto juu ya mabasi yaendayo kasi, ni dhahiri kuwa ni jambo ambalo kwa sasa linahitaji kutiliwa maanani kwa sababu hata mimi leo nime_experience hizo changamoto hadi nikaamua kughairi safari ilihali nilikuwa nmeingia ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Utajuaje ajira uliyonayo si sahihi kwako?

    Huu uzi ni muhimu kwa wale wote wenye viashiria vya kuja kuwa mjasiriamali na anayejisimamia mwenyewe kwenye biashara zake. Wapo watu wanaishi katika mazingira magumu sana ingawa bado wapo kwenye ajira. Mahitaji ni mengi kuliko mapato, leo anapokea mshahara baada ya siku saba hela imeisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  19. JamiiForums Tanzania Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

    Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili, Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii. Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni tafsiri sahihi ya I saw him leaving the house

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house Aksanteni na karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…