Ungekuwa wewe ungefanyaje?

AlphaMale_

Senior Member
Aug 12, 2023
187
429
Mambo vipi?

Nipende kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu Mimi ni kijana nina 26 years old bado sijajipata nina shida moja.

Mzazi(mama) anapenda sana kusisitiza kuhusu kuoa kwamba wakati ni huu na anapenda kusindikiza na mifano kwamba vijana wengi wa umri wangu wana Familia kwann mm bado.

kuna muda inakua mpaka kero kwangu na huwa naumia sana kwasababu sio kwamba sipend kuoa ila ni kwamba bado napambana hivi Mpaka ana nifokea kuna binti nilimuahid kumuoa na akawa na mawasiliano na dada zangu sasa nika badiri maamuzi.

Niliona mahusiano yananichelewesha sana kukua kiuchum kama mnavo jua kuendesha mahusiano ni gharama ya muda na pesa pia hisia na mm ni mtu wa safari sana Nimeamua kua single lkn hio inanifanya nisiwe na mawasiliano mazuri na mama ang

Jamani ushauri wenu wana jamvi.
 
Namimi ndio naona hivo kwasabu mi naona nikioa swez fikia ndoto zangu
Haya mambo wala hutakiwa kuuliza. Wewe ni mtu mzima na unatakawa uwe na msimamo. Najua wamama wengi huwa wanakuwa hivyo lakini utakosea sana ukimlegezea. Mwangalie machoni na usicheke huku ukimwambia ''bado siko tayari kuoa sasa hivi kwa sababu nataka kutumiza malengo yangu kwanza''.

Kuna mwenzako alikuwa anahimizwa hivyo na mama yake, na akafikia mpaka hatua ya kumchagulia mchumba na harusi ikafungwa ila baada ya miezi sita ikavunjika kisa yule demu alikuwa na ngoma.

Tena mama mtu ndiyo alikuwa tena wa kwanza kumfukuza huyo mwanamke utadhani hakuhusika. Kumkatilia mama yako kuoa kwa sababu muda bado hiyo siyo dhambi wala kosa. Tena mwambie akukome.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom