Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Inaonekana dereva wa polisi alimuacha afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.

Je, ni sahihi mapolisi kupigana hadharani?
HAPANA. Na sio kwa Mapolisi tu, hata kwa mtu yeyote yule. Hilo ni kosa kisheria.
Wewe ni nini kilichokufanya hata uone kwamba alimuacha mwenzake kwa bahati mbaya?
BTW: Timbwili liliishaje mkuu?
 
Back
Top Bottom