pandex bawasiri
Member
- May 18, 2026
- 24
- 8
NA PANDEX HERBAL
🌎 KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI).
⤵️ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii hufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japokuwa Dalili za awali husemekana kufanana na Za BAWASIRI mfano: Miwasho, maumivu makali, Damu kutoka wakati mwingine, kuota vinyama n.k
Lakini......!
⤵️ KAWAIDA ya bawasiri, Ni hali ya kudhoofika kwa kuta za mishipa ya Damu aina ya veins eneo la haja kubwa. Na hii huanza taratibu na huwa inakuja halafu inapotea kipindi fulani hivi. Hii inatokana hasa na mtindo wa maisha wa mtu husika. Kama vichochezi vitapungua inapotea, vikiongezeka inarudi. Hii hali ikiendelea huweza kujenga usugu wa tatizo lenyewe. Dalili zake pia zinakaribiana mno na Tabia ya Kansa, kama vile Miwasho, Kuvimba kwa seli, Damu kutoka, na maumivu wakati mwingine.
⤵️Mishipa ya Damu inapovimba aidha kwa ndani au kwa nje hukakamaa, na mwishoe ikipasuka inaleta madhara makubwa sana kwa mtu kwa badae.
⤵️ Kwahiyo Basi: Hata MATIBABU YA TATIZO HILI kiufasaha yanatakiwa mtu atibiwe kuanzia ndani kuelekea nje, na hii ni kwa sababu Asilimia kubwa za Bawasiri huanzia ndani kisha kuchomoza kwa nje hasa wakati wakujisaidia haja kubwa kwa mtu.
⤵️ Kama unasumbuka na hili tatizo kwa muda mrefu sana, tunaweza kukusaidia vema
0743 549 126
Ilala Dar es salaam Tanzania