NA PANDEX HERBAL
🌎 KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI).
⤵️ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii hufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japokuwa Dalili za awali husemekana kufanana na Za BAWASIRI...
Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
JMT!
Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali..
hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana.
Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k.
je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)?
Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje?
Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
Wakuu,
Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.”
Swali ni:
Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika
Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
Kuna watu thamani katika maisha yetu hapa duniani wapo na wanaweza wakawa ni wa muhimu katika negative way au positive way.
Ukiachana na ndugu wa faida na wazazi bado kuna watu baki wanaweza kuibika katika nyakati flani ambazo uliwahitaji kwa udi na uvumba.
Binafsi mimi kuna hawa watu wawili...
Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda..
Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao.
Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia .
Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita .
Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁
Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed.
Itengenezwe community...
LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote.
WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA:
1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake
Wanadai hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.