Mbowe amesema rais huyu mwenye asili ya Unguja anauza ardhi ya Tanganyika nyingi kuliko marais ambao asili yao ni Tanganyika. Sasa amekosea nini?
Siyo hivyo tu, rais huyu ambaye hakuchaguliwa na wananchi anauza mali za nchi nyingi kuliko rais waliochaguliwa na wananchi. Huyu ni rais ambaye ni...