Sababu za ugonjwa wa Mkanda wa jeshi

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji.

Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo tetekuwanga (chicken pox) wakati wa utoto, ambayo husababishwa na (Varicella).
Ugonjwa mwingine ni Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na (Zoster) ni uanzishaji upya wa tetekuwanga wakati wa utu uzima hasa katika hali ya upungufu wa kinga au kuzeeka.

1685000671349.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom