Uchaguzi 2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera

Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu hawaoni waeleze nini

Kelele zote za kumtaka anadi sera zimeshindikana yeye kuzikubali

Nilikuwa naambiwa Lissu mbishi huwa hasikii la mtu sasa nimeamini kagoma katakata kunadi sera za Chadema kakigomea chama chake na wananchi wanaokwenda kumsikiliza
 
Ni kwasababu akili yako ni fupi.
Kwanza hotuba za lisu kwenye mikutano yake yote zimejaa kama utitili utitili uko youtube. Na views ni mara 5 ya wanaoview za magufuli. Watu wenye chanel zao youtube wanakimbizana kupost hotuba za lissu ili wapate views wengi.

Pili hii ndyo mbinu inayomfanya lissu apate nyomi ya wapiga kura kwenye mikutano yake. Sababu vyombo vya habari vimeminywa. Sera zake hazioneshwi kwenye vyombo vya habari, watu wameamua kutumia nafasi ya mikutano yake kuhakikisha wanafika bila kukosa ili wasikilize hituba za lissu mubashara kabisa.

Endeleeni kujipiga dole alafu mnanusa.
 
Watu wanafurika kusikiliza sera yeye hatumii hiyo opportunity kunadi sera anapoteza opportunity ok sio issue Shauri yake yake tukutane October 28 sanduku la kura
 
Mambo 3 aliyotueleza wana kigoma ni
*Uhuru
*Haki
*Maendeleo ya watu
Amechambua vizuri sana sera hizo jana!Sema mnachochukia anaeleza sera huku akipiga na spana juu ya sera!
Mfano hapo kwenye uhuru anasema atapanua wigo wa uhuru kwa wananchi kufanya mambo yao bila kuingiliwa!Akasema serikali ya miaka 5 mtu akienda nayo tofauti basi ataanza kuhojiwa cheti cha kuzaliwa cha babu na bibi wakati hata Magufuli mwenyewe hana cheti cha kuzaliwa!
 
Huwezi kunadi sera Bila kueleza mapungufu ya mshindani wako
Sera hutegemei kwa mapungufu ya mwingine kuelezea sababu sera zako zaweza kuwepo ambazo ni mpya kabisa ambazo haziko kwa mwingine Sasa utaongeleaje mapungufu kwa kitu kipya ambacho kwa mwingine hakipo? Inabidi ujikite kufafanua hicho kipya chako watu wakielewe
 
Mkuu atanadi sera zipi? CHADEMA hawana sera ! Sera zao ni kulilia tuu na kuomba mataifa ya nje kuingilia uchaguzi wetu. Pia kuyaahidi mataifa hayo zawadi ya kuwapa rasilimali zetu kwa njia ya rehani !
 
Ni kwasababu akili yako ni fupi.
Kwanza hotuba za lisu kwenye mikutano yake yote zimejaa kama utitili utitili uko youtube. Na views ni mara 5 ya wanaoview za magufuli. Watu wenye chanel zao youtube wanakimbizana kupost hotuba za lissu ili wapate views wengi.

Pili hii ndyo mbinu inayomfanya lissu apate nyomi ya wapiga kura kwenye mikutano yake. Sababu vyombo vya habari vimeminywa. Sera zake hazioneshwi kwenye vyombo vya habari, watu wameamua kutumia nafasi ya mikutano yake kuhakikisha wanafika bila kukosa ili wasikilize hituba za lissu mubashara kabisa.

Endeleeni kujipiga dole alafu mnanusa.
Umeelewa nilichoandika?

Ninesema Kitengo Cha habari Cha Chadema kinatoa habari tu za jinsi watu walivyofurika.Naongelea Kitengo cha habari Cha Chadema
 
Watu wanafurika kusikiliza sera yeye hatumii hiyo opportunity kunadi sera anapoteza opportunity ok sio issue Shauri yake yake tukutane October 28 sanduku la kura
lissu shikilia hapo hapo babaaa, sera zako tunazisikia na RPG zako tunazisikia. ila hawa mataga wanasikia kwenye uchungu zaidi
 
Sera hutegemei kwa mapungufu ya mwingine kuelezea sababu sera zako zaweza kuwepo ambazo ni mpya kabisa ambazo haziko kwa mwingine Sasa utaongeleaje mapungufu kwa kitu kipya ambacho kwa mwingine hakipo? Inabidi ujikite kufafanua hicho kipya chako watu wakielewe
Mmekubali kuwa mwenyekiti ana mapungufu mengi. Kuyaongelea ni kuwafahamisha wananchi hali halisi kabla hawajafanya maamuzi sahihi October.
 
Huwezi kunadi sera Bila kueleza mapungufu ya mshindani wako
Hiyo ni kweli na nimegundua kila akitaja mapungufu ya mshindani wake watu wanashangilia Kweli kweli na yeye anaendelea kutaja moja baada ya pungufu jingine na mkutano unalipuka Kwa furaha ya kuona MTU anayethubutu kumkemea Rais bila hofu..na watanzania walio wengi ukianza kuwaambia solutions zenye Mambo magumu ili kuachana na mapungufu ya Rais aliyepo..wanaanza kuwa bored na as a main speaker ktk mkutano Lissu lazima aseme vitu watu wanapenda kusikiliza na si kweli kwamba Hana Sera au chama hakina Sera, the ultimate goal hapa ni kuwashawishi wapiga Kura ili yeye na chama chake washinde uchaguzi ili akayabadili yote mabaya yaliyofanywa na Tawala zilizopita especially ya awamu ya tano..HOW!? Itajulikana wakishaingia Ikulu na kupewa Account balance pale hazina na kupatiwa report ya makusanyo kutoka TRA.
 
Hiyo ni kweli na nimegundua kila akitaja mapungufu ya mshindani wake watu wanashangilia Kweli kweli na yeye anaendelea kutaja moja baada ya pungufu jingine na mkutano unalipuka Kwa furaha
Hapo Ndipo CCM tunapowapiga bao .Tukifika kampeni hatuelezi mapungufu ya mpinzani Sababu Ni maneno matupu tukienda tunawaambia mhlihitaji barabara ya lami hiyo hapo mnaiona?

Mlihitaji mradi wa maji hup hapo mnaiona?

Mlihitaji elimu bure mnaiona?

Mlihitaji umene mnauona? Nk
Sasa tupeni kura tuwafanyie mengine
 
Mambo 3 aliyotueleza wana kigoma ni
*Uhuru
*Haki
*Maendeleo ya watu
Amechambua vizuri sana sera hizo jana!Sema mnachochukia anaeleza sera huku akipiga na spana juu ya sera!
Mfano hapo kwenye uhuru anasema atapanua wigo wa uhuru kwa wananchi kufanya mambo yao bila kuingiliwa!Akasema serikali ya miaka 5 mtu akienda nayo tofauti basi ataanza kuhojiwa cheti cha kuzaliwa cha babu na bibi wakati hata Magufuli mwenyewe hana cheti cha kuzaliwa!
Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,

1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......

Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne 😳 wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !

Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
 
Hiyo ni kweli na nimegundua kila akitaja mapungufu ya mshindani wake watu wanashangilia Kweli kweli na yeye anaendelea kutaja moja baada ya pungufu jingine na mkutano unalipuka Kwa furaha ya kuona MTU anayethubutu kumkemea Rais bila hofu..na watanzania walio wengi ukianza kuwaambia solutions zenye Mambo magumu ili kuachana na mapungufu ya Rais aliyepo..wanaanza kuwa bored na as a main speaker ktk mkutano Lissu lazima aseme vitu watu wanapenda kusikiliza na si kweli kwamba Hana Sera au chama hakina Sera, the ultimate goal hapa ni kuwashawishi wapiga Kura ili yeye na chama chake washinde uchaguzi ili akayabadili yote mabaya yaliyofanywa na Tawala zilizopita especially ya awamu ya tano..HOW!? Itajulikana wakishaingia Ikulu na kupewa Account balance pale hazina na kupatiwa report ya makusanyo kutoka TRA.
This is typical African bad politics! Sema uongo uingie ikulu ! Magufuli anasema ukweli hata kama watu hawaupendi !
 
Back
Top Bottom