sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

    Msemaji mkuu wa Serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu. Dkt. Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  3. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
  4. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali tunawaomba muifanye lugha ya Kigogo iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania, kwa sababu hizi

    Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni: Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba. Pili wanaozungumza Kiswahili...
  5. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wauana kwa sababu ya barakoa

    Polisi wa Kenya waua raia kwa kutokuvaa barakoa. Hawa jamaa ni kama hawana akili vile.
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya wanaoacha kazi huacha kutokana na sababu ya visa vya mabosi wao

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka shirika la kazi ulimwenguni ILO imebainika kuwa asilimia kubwa ya waajiriwa wanaoziacha kazi zao walikoajiriwa huacha kazi huwa sababu halisi ni 'maboss' wao. Tunaambiwa kuwa 75% ya waajiriwa anaojiuzulu nafasi zao katika ajira ni wale wenye...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliomaliza muda hawatakiwi kuitisha mikutano ya hadhara sababu ni raia wa kawaida

    Ubunge ukimalizika kipindi mtu aliyekuwa Mbunge haruhusiwi kuitisha mkutano wa hadhara popote sababu ni raia wa kawaida. Polisi msitoe vibali.
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

    1. Chini ya utawala wake kuna Ombwe la utawala bora na unaoheshimu sheria na katiba Kitu cha msingi kabisa ambacho raisi anapaswa kukishika kama mboni ya jicho lake ni kutimiza kiapo alichoapa mbele ya Mungu, na wanadamu ni kuheshimu katiba, tumeona katika utawala huu mambo kadhaa yakifanywa...
  10. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  12. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Amber Lulu: Nampenda Mondi kwa sababu ni fighter, hustle, Pia amekata body

  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sababu za vegetarians kutokula nyama

    Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na...
  14. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua uwezekano wa mtoto kuwa bubu na inaweza kuzulika kwa umri wake mdogo. nitashukuu --- --- --- ===...
  15. Mshiiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION...
Back
Top Bottom