Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,629
5,134
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
 
Mipaka ishafunguliwa sasa hivi.

Kitunguu kimeshuka hadi kwa bei ya 20,000 Tshs unapata gunia.
 
Mzee wangu; Kenya ndiyo iliyofunga mpaka na kuzuia ndege za Tanzania kwenda Kenya. Maroli ya Tanzania yalikuwa yanawekwa karantini siku 14. Biashara gani hiyo ungeifanya katika mazingira hayo? Lawama kama hizi zako ni za kijiweni sana; haziangalii ukweli mradi tu kutoa lawama. Mvua ikinyesha bado utailaumu serikali, na iwapo kutatokea ukame pia utailaumu serikali!.
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari....
Sio vitunguu tu, hata mchele, hasa ule wa magugu, wateja wakuu ni hao wakeja, sijui labda watakuwa kwa sasa wanapita njia za panya.
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Hakika mie ni muathirika wa hili. Nalima na kuweka stocks za mpunga Kahama, Geita na Morogoro. Lakini pia nalima vitinguu singida.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Nenda kashtaki kwa Lisu.
 
Ficha upumbavu na ushamba wako inamaana haujui kuwa kenya bado wana komaa na corona au ni kujitoa akili?? utashindwa kumtia mimba mkeo pia usingizie serikali kama vile ndo inayokupanulia mapaja ya mkeo.
 
Hivi JPM ni Raisi wa Kenya??
Hujui huko kuna lock down ??
Au ugonjwa wa kuharisha kinakusababisha, akili ihame
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Uko sahihi mkuu, Mimi Nina ndugu zangu pale ruaha mbuyuni wameacha kulima zao la vitunguu kwa sababu soko hakuna na walikuwa wanawategemea wakenya na ndiyo walikuwa wadau wao wakubwa
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
WEWE SI MNUFAIKA MKUUU WAKIPINDI KILE NYIE WAKENYA MLIPOKUWA MNAUTANGAZA MLIMA KILIMANJARO KUWA NI WAKWENU? SASA BAADA KUZIBIWA FULSA HIZO SI NDIO MAANA UNALIA LIA HAPA
 
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.

Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.

Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Mzigo wako uza kwa Watanzania wenzako acha rohoo mbaya utaoza!!
 
Ficha upumbavu na ushamba wako inamaana haujui kuwa kenya bado wana komaa na corona au ni kujitoa akili?? utashindwa kumtia mimba mkeo pia usingizie serikali kama vile ndo inayokupanulia mapaja ya mkeo.

Kweni mkeo hupanuliwa mapaja na serikali ndipo wee umtie mimba? sio vizuri kumsema vibaya member mwenzio bali cha muhimu jibu hoja kwa hoja mkuu.
 
Jamaa yupi huyo? mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Wakenya wanasema wanaogopa Corona ya TZ (japo kwao ipo) ndiyo maana wamejizuia kuja Bongo, tatizo ni wao.
 
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
wanaenda kununua wapi?
Biashara ni sayansi,pelekeni uganda ambao watapeleka kenya,acha kulalama,mlango mmoja ukifunga,mwingine lazima ufunguke
 
Kipindi hiki ilitakiwa mahind, vitunguu, mpunga viwe Bei juu, zile ndege zetu tungeng'oa siti zibebe mizigo.

Zikifika kule waapakua rubani hashuki, anaondoa dege mpaka huku pesa wanaingiza acount tu.!
 
Back
Top Bottom