Najiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA?
Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.
Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
Anonymous
Thread
chuoni
lecturer
rushwa
sana
tabia
ucc
udsm
wengine
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja.
Watanzania...
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja.
Watanzania...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia...
Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja.
Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina.
Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini.
Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo.
Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
dalili
hali
hali tete
kujikimu
mgawanyiko
mpya
pesa
pesa za kujikimu
rushwa
tete
ushetu
Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza...
Kuna zoezi la ukamataji wa Pikipiki na Bajaj linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa, jambo linalopunguza imani ya wananchi katika operesheni hizo.
Aidha, faini zinazotozwa ni kubwa...
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.
Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti
Sasa maovu utayafichua vipi?
Rushwa Rushwa Rushwa!!
Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali ukiomba kupitia mfumo maombi hayapitishwi kwa wakati na wanayapuuzia, ila wanakujengea mazingira ya kutoa...
Bandari ya Kemondo(Kagera) kumekuwa na matukio yasiyofaa ambapo walinzi katika eneo ilo wamekuwa wakitumia kigezo cha kutokuwa na vitambulisho kuomba rushwa.
Lakini pia idara ya ulinzi ya eneo ilo wamegeuka miungo watu wasumbua sana wasafiri kwa kutaka kunyenyekewa na pale inaponekana mtu...
Police in Uganda have arrested a dress belonging to Parliament Speaker Anita Among. The designer outfit, which she wore during President Museveni's recent swearing-in, was reportedly purchased for Ksh. 1.1 million. Among is facing corruption allegations.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa.
Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote wanatuomba rushwa na bila kuwapatia rushwa hawafanyi kazi yeyote ile kwako, badala yake watakuwa...
Nimekutana na kadhia kubwa ambayo nilinunua viwanja kadhaa kwenye mfumo wa tausi eneo la bagamoyo. Na mwaka huu mwanzoni nilitaka kufatilia kupata hati ya viwanja vyangu. Ila nilishangaa kila mfanyakazi wa halmashauri ili akufanyie kitu flani ni anahitaji umlipe.
Nilikaa siku mbili nafatilia...
Rushwa ni adui wa TAIFA Kwa ufupi naomba nikuonyeshe why nasema Rushwa ni adui wa TAIFA.
1. Rushwa inawanyima wanyonge haki zao. Mnyonge hasikilizwi popote labda awe na rupia ndo atavunja uzia.
2. Rushwa ni chanzo cha maovu yanayotokea kwenye TAIFA.
Mfano:- (a) mtoto kabakwa, baba wa mtoto...
Nchi hì hata kama utakuwa na moyo wa kulipa kodi na mapato kwa hiyari bado utakumbana na changamoto tu za kukufanya uachane na mpango huo, ukitaka kulipia leseni za sanaa na saloon unalazimika kuwa na namba kutoka BASATA ambazo itazipata kwenye mfumo wao wa AMIS ,lakini cha ajabu mfumo wao huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.