MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 990
- 2,033
Rushwa ni adui wa TAIFA Kwa ufupi naomba nikuonyeshe why nasema Rushwa ni adui wa TAIFA.
1. Rushwa inawanyima wanyonge haki zao. Mnyonge hasikilizwi popote labda awe na rupia ndo atavunja uzia.
2. Rushwa ni chanzo cha maovu yanayotokea kwenye TAIFA.
Mfano:- (a) mtoto kabakwa, baba wa mtoto kufatilia kesi ili haki ipatikane mbakaji anahonga, baba wa mtoto na mtoto wake wanaangukia pua Kwa kukosa hela ya kuhonga. Baba anaamua kumuwinda mbakaji Kwa njia zake mwenyewe anamchinja Kwa hasira Kali. Ndo vile tunasikia mtu flani kachinjwa kikatili kumbe behind the scene ni rushwa imepelekea hivo.
(b) Mzee kadhurumiwa kiwanja chake na tajiri, mzee kakosa hela ya kuhonga, mzee kakosa haki yake, mzee kajinyonga au amekufa na presha. Watoto wanabak na chuki moyoni, watoto wanakua, wanapata pesa, wanaiwinda ile familia wanaanza kuuwana kama nzige. Behind the scene rushwa inahusika.
3. Rushwa inaua nguvu kazi ya TAIFA kupitia kudhoofisha afya ya vijana, KUONGEZA vifo vya vijana, kuharibu akili za vijana.
Mfano:- (a) mchina anatengeneza pikipiki na magari mabovu anahonga taasisi husika vyombo vibovu vya usafiri vinaingia nnchini unaanza kusikia ajali flani gari iliwaka moto ghafla, pikipiki ilifeli breki ghafla. Behind the scene ni kwamba rushwa ilihusika kuingiza vyombo vyenye ubora mbovu nchini na kuua vijana.
(b) Drug dealers, hii point sizungumzii sana mwenye akili anaelewa
(c) Madawa ya kutibu binadamu, rushwa inahusika kuingiza madawa mabovu ambayo yanakuja kujimaliza TAIFA
(d) Kampuni za kamali, ma game ya wachina hivi vyote vinaingia kwasabab ya rushwa.
(e) Vyakula vibovu na vinywaji vibovu mfano energy drinks zinaingia sokoni kupitia rushwa
4. Rushwa inauwa uwajibikaji na uwajibishwaji Kwa viongozi na watumishi.
Mtumishi au kuongozi kuwajibika au kuwajibishwa ni ngumu kwasabab atatumia alichonacho kusettle mambo huku anayeumia ni TAIFA Kwa ujumla.
Mfano, mkandarasi, kamati tendaji, wakaguzi wote wamekula rushwa, pesa nyingi imeliwa na ndogo ndiyo iliyoeolekezwa kwenye mradi ambao kimsingi unakadiriwa kuishi Kwa miaka 100 ila mradi huo utachakaa na kushindwa kufanya kazi ndani ya miaka 20 tu kwahyo ile bajeti ya mabilioni iliyotumika TAIFA litakuwa limeingia hasara.
Kwa machache hayo naomba nimalizie Kwa kushauri, hii taasisi ya TAKUKURU ni Bora iwe chini ya JWTZ kwani itapunguza wimbi la utoaji na upokeaji wa rushwa na mwisho wa siku kulikomboa TAIFA kwani tunajua kuwa hawa watu kiukweli wana uzalendo kuliko watu wengine unless labda wakengeuke.