DOKEZO UDSM kunanuka rushwa kwenye Ajira

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Superintendent kimura

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
518
Reaction score
1,897
wasaalam

tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo kama wanafovofanya taasisi zingine ambapo majibu hutoka na kutaganzwa kupitia tovoyi rasimi ya secretariet ya ajira (Public Service Recruitment Secretariat | PSRS ) badala yake wameita watu kimya kimya kupitia akaunti za wasailiwa ajira portal

kuna uwezekano mkubwa sana ajira hizo zilikuwa za connections au rushwa mpaka kushindwa hutangaza matokeo kwa umma kila msailiwa akajua alichopata
 
Sasa kama ajira portal wameita watu kimyakimya, hao UDSM wanaingiaje kwenye hizo Rushwa unazodai.
Muda mwingine inabidi tukumbuke Ile kauli wanayosema kwenye tangazo la ajira kuwa Waombaji pekee watakaofuzu vigezo ndio watakaoitwa kwenye usaili" Vivyohivyo hata kwenye ajira ni wale tu watakaufuzu ndio watakaoitwa kazini. Ukiona hujaitwa basi ujue hukufaulu/hukufuzu
 
HILI NALO NITALITAZAMA KUHAKIKISHA KILA JAMBO LINAKAA SAWA
 
wasaalam

tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo kama wanafovofanya taasisi zingine ambapo majibu hutoka na kutaganzwa kupitia tovoyi rasimi ya secretariet ya ajira (Public Service Recruitment Secretariat | PSRS ) badala yake wameita watu kimya kimya kupitia akaunti za wasailiwa ajira portal

kuna uwezekano mkubwa sana ajira hizo zilikuwa za connections au rushwa mpaka kushindwa hutangaza matokeo kwa umma kila msailiwa akajua alichopata
Tutajie kabila lako kwanza
 
Back
Top Bottom