Ni kweli hakuna hotuba ya Rais Samia akikemea rushwa na ufisadi au wanamsingizia? Kama unayo tuwekee hapa

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,932
Reaction score
28,132
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia.

Watu wameenda mbali na kusema mtoto wa Samia Abdul, mkwe wake, watoto wake,shoga zake na ndugu na jamaa wa Rais Samia wamekuwa wakiufaidi uraisi wa Samia kwa namna ambayo hakuna rais amewahi kufanya hivi kwa watu wake wa karibu, na labda anaemfuata Samia ni Kikwete, ambae yuko karibu na Samia na anatajwa pia kama mnufaika wa urais wa Samia.

Na watu wanadai Rais Samia hajawahi kutoa hotuba yoyote ya kukemea, kulaani na kuahidi kushughulikia rushwa na ufisadi nchini. Kuna mtu anasema hotuba kali kuliko zote alizotoa kuhusu kukemea rushwa na ufisadi ni ele aliyosema msichote sana hadi kuvimbiwa!

Haya ni mambo mazito kusema kuhusu raisi wa nchi. Nadhani tunaenda mbali sana kuhusu raisi wetu. Kama kuna mtu ana hotuba za Raisi Samia akikemea na kufoka kuhusu rushwa na ufisadi tafadhali tuwekee hapa ili tumalize huu ubishi.
 
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia. Watu wameenda mbali na kusema mtoto wa Samia Abdul, mkwe wake, watoto wake,shoga zake na ndugu na jamaa wa Raisi Samia wamekuwa wakiufaidi uraisi wa Samia kwa namna ambayo hakuna raisi amewahi kufanya hivi kwa watu wake wa karibu, na labda anaemfuata Samia ni Kikwete, ambae yuko karibu na Samia na anatajwa pia kama mnufaika wa uraisi wa Samia.

Na watu wanadai Raisi Samia hajawahi kutoa hotuba yoyote ya kukemea, kulaani na kuahidi kushughulikia rushwa na ufisadi nchini. Kuna mtu anasema hotuba kali kuliko zote alizotoa kuhusu kukemea rushwa na ufisadi ni ele aliyosema msichote sana hadi kuvimbiwa!

Haya ni mambo mazito kusema kuhusu raisi wa nchi. Nadhani tunaenda mbali sana kuhusu raisi wetu. Kama kuna mtu ana hotuba za Raisi Samia akikemea na kufoka kuhusu rushwa na ufisadi tafadhali tuwekee hapa ili tumalize huu ubishi.

Nioneshe na hotuba ya Shetan akikemea Mauaji, Wizi, Ulevi na Uzinzi.,
 
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia.

Watu wameenda mbali na kusema mtoto wa Samia Abdul, mkwe wake, watoto wake,shoga zake na ndugu na jamaa wa Rais Samia wamekuwa wakiufaidi uraisi wa Samia kwa namna ambayo hakuna rais amewahi kufanya hivi kwa watu wake wa karibu, na labda anaemfuata Samia ni Kikwete, ambae yuko karibu na Samia na anatajwa pia kama mnufaika wa urais wa Samia.

Na watu wanadai Rais Samia hajawahi kutoa hotuba yoyote ya kukemea, kulaani na kuahidi kushughulikia rushwa na ufisadi nchini. Kuna mtu anasema hotuba kali kuliko zote alizotoa kuhusu kukemea rushwa na ufisadi ni ele aliyosema msichote sana hadi kuvimbiwa!

Haya ni mambo mazito kusema kuhusu raisi wa nchi. Nadhani tunaenda mbali sana kuhusu raisi wetu. Kama kuna mtu ana hotuba za Raisi Samia akikemea na kufoka kuhusu rushwa na ufisadi tafadhali tuwekee hapa ili tumalize huu ubishi.
Umewekwa madarakani na wala rushwa! Huo ujasiri wa kuwakemea mabosi wako utautoa wapi?

Na ni kweli Nyerere hakuendekeza huu uozo uliotapakaa kwenye hii awamu. Mtu anateua hadharani watoto wake, wakwe zake, mashosti wake, ndugu zake, nk. Unategemea nini kitatokea?
 
Huyu mtu huwa tukiandika mbona jambo fulani halizungumzii , gafla utaona hotuba zifatazo analizungumzia ili kuweka rekodi na yeye alishalisemea japo hamaanishi.
Fatilia hotuba zake zinazokuja utaona.
 
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia.

Watu wameenda mbali na kusema mtoto wa Samia Abdul, mkwe wake, watoto wake,shoga zake na ndugu na jamaa wa Rais Samia wamekuwa wakiufaidi uraisi wa Samia kwa namna ambayo hakuna rais amewahi kufanya hivi kwa watu wake wa karibu, na labda anaemfuata Samia ni Kikwete, ambae yuko karibu na Samia na anatajwa pia kama mnufaika wa urais wa Samia.

Na watu wanadai Rais Samia hajawahi kutoa hotuba yoyote ya kukemea, kulaani na kuahidi kushughulikia rushwa na ufisadi nchini. Kuna mtu anasema hotuba kali kuliko zote alizotoa kuhusu kukemea rushwa na ufisadi ni ele aliyosema msichote sana hadi kuvimbiwa!

Haya ni mambo mazito kusema kuhusu raisi wa nchi. Nadhani tunaenda mbali sana kuhusu raisi wetu. Kama kuna mtu ana hotuba za Raisi Samia akikemea na kufoka kuhusu rushwa na ufisadi tafadhali tuwekee hapa ili tumalize huu ubishi.
Hawezi kuukata mkono unaomlisha, huyu kawekwa madarakani na wana mtandao ambao ni mafisadi papa katika nchi hii, ajaribu aone kama atamaliza hata mwezi hapo jumba jeupe.
 
Kikwete amewakosea sana watanzania!
Ni ngumu kumtenganisha ni huu uozo na mauaji ya Oct.29.
 
Hotuba kabambe ya huyo mama akikemea ufisadi ni pale alipomuagiza CAG awe anawataja wabadhilifu kwa majina ili waone aibu!!!.
 
Da I say! Kwahiyo raisi wetu hotuba kubwa kuhusu rushwa alizotoa ni tatu;
  • Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
  • Wale mnaochota msichote hadi kuvimbiwa
  • CAG awataje mafisadi kwa majina ili waone aibu
 
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia.

Watu wameenda mbali na kusema mtoto wa Samia Abdul, mkwe wake, watoto wake,shoga zake na ndugu na jamaa wa Rais Samia wamekuwa wakiufaidi uraisi wa Samia kwa namna ambayo hakuna rais amewahi kufanya hivi kwa watu wake wa karibu, na labda anaemfuata Samia ni Kikwete, ambae yuko karibu na Samia na anatajwa pia kama mnufaika wa urais wa Samia.

Na watu wanadai Rais Samia hajawahi kutoa hotuba yoyote ya kukemea, kulaani na kuahidi kushughulikia rushwa na ufisadi nchini. Kuna mtu anasema hotuba kali kuliko zote alizotoa kuhusu kukemea rushwa na ufisadi ni ele aliyosema msichote sana hadi kuvimbiwa!

Haya ni mambo mazito kusema kuhusu raisi wa nchi. Nadhani tunaenda mbali sana kuhusu raisi wetu. Kama kuna mtu ana hotuba za Raisi Samia akikemea na kufoka kuhusu rushwa na ufisadi tafadhali tuwekee hapa ili tumalize huu ubishi.
CAG awataje wakwepa Kodi ili waone aibu.
 
Back
Top Bottom