A
Anonymous
Guest
Bandari ya Kemondo(Kagera) kumekuwa na matukio yasiyofaa ambapo walinzi katika eneo ilo wamekuwa wakitumia kigezo cha kutokuwa na vitambulisho kuomba rushwa.
Lakini pia idara ya ulinzi ya eneo ilo wamegeuka miungo watu wasumbua sana wasafiri kwa kutaka kunyenyekewa na pale inaponekana mtu akajisimamia inakuwa shida sana.
Kuna haja ya wahusika kupaangalia vizuri tena