KERO Ofisi za WANGIWASA zinanuka RUSHWA

KERO Ofisi za WANGIWASA zinanuka RUSHWA

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mtemi Mbeyela

New Member
Joined
May 19, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa.

Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote wanatuomba rushwa na bila kuwapatia rushwa hawafanyi kazi yeyote ile kwako, badala yake watakuwa wanakupiga kalenda mpaka utajuta.

Wamekuwa na kauli mbovu kwa sisi wateja, pia wanang'oa mita bila taarifa, na gharana za kuingiza maji huwa wanataja mara mbili au tatu kabisa ya gharama halisi.

Tunaomba wahamishwe kituo cha kazi ili na sisi wananchi tupate kupumua kidogo.

Tunaomba Mamlaka zinazohusika zichukue hatua za haraka na za naksudi kabisa kulichunguza hili swala lakini pia kuwahamisha kazi vituo .
 
Tupe mkoa, na wilaya tufanyie kazi. Wapuuzi hao.
 
Dah hayo majina ya kijiji ni ya ajabu ajabu bora mkose maji tu.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom