Habari wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ilikuwa jumanne ilopita tarehe 12 mwez huu wa 3 niliamka jicho la kushoto linachoma choma na kutoa machozi na tongotongo kidogo nikajicheki kwenye kioo nikaona limekuwa jekundu basi moja kwa moja nikajua hii red eyes (conjunctivitis).
Nikaanza...
Wizara ya Afya imesema idadi ya watu waliopata upofu jijini Dar es Salaam kutokana na kutibu ugonjwa wa macho mekundu kwa njia za kienyeji wamefikia saba kutoka wanne.
Februaru 8, Mkurugenzi wa Tiba, Wizara ya Afya, Profesa Paschal Ruggajo alisema watu wanne waliougua ugonjwa huo wamepata upofu...
Kwa haraka haraka nimechunguza na kuona in my locality, waliochanjwa Covid 19 vaccine hawajambukizwa red eyes disease ambayo sasa of course ina subside or going away altogether!
Na Nyumbani kwangu wote ambao hawakuchanjwa wameambukizwa red eyes and vice versa!
Swali: Tunaweza kuhusisha chanjo...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya, Profesa Pascal Ruggajo, mikoa inayoongoza kwa ugonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) ni Dar es Salaam na Pwani, ambapo Dar es Salaam imefikia wagonjwa 6,412, Pwani wagonjwa 4,041, Dodoma 363, Morogoro 307, Mtwara 193, Shinyanga 193...
Mratibu wa Huduma za Msingi za Macho kutoka Wizara ya Afya Visiwani Zanzibar, Dkt. Rajabu Mohamed Hilali amesema hadi kufikia Februari 1, 2024 watu 7 walikuwa wamepata upofu wa macho kutokana na kutofuata ushauri wa Kitabibu katika kukabiliana na Ugonjwa wa RedEyes.
Kufuatia taarifa hiyo Dkt...
Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.