Short Observational research (casual research) on RED EYES infection

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,010
Kwa haraka haraka nimechunguza na kuona in my locality, waliochanjwa Covid 19 vaccine hawajambukizwa red eyes disease ambayo sasa of course ina subside or going away altogether!

Na Nyumbani kwangu wote ambao hawakuchanjwa wameambukizwa red eyes and vice versa!

Swali: Tunaweza kuhusisha chanjo ya covid 19 kuwa na cross-reacting antibodies against red eyes infection taking into consideration that the two are virus-associated infections? AU ni coincidence tu of my observation?
 
Mimi na wife tumechanjwa chanjo ya corona na tumepata red eyes

USSR
 
Wife wangu alichanjwa Chanjo ya covid19 lkn amepata red eyes..
Mimi sikuchanjwa na sijapata mkuu..
So your research is not true
 
Kwa haraka haraka nimechunguza na kuona in my locality, waliochanjwa Covid 19 vaccine hawajambukizwa red eyes disease ambayo sasa of course ina subside or going away altogether!

Na Nyumbani kwangu wote ambao hawakuchanjwa wameambukizwa red eyes and vice versa!

Swali: Tunaweza kuhusisha chanjo ya covid 19 kuwa na cross-reacting antibodies against red eyes infection taking into consideration that the two are virus-associated infections? AU ni coincidence tu of my observation?
Red eyes ni uchafu, watu wakiwa wasafi haaawezinpata red eyes, tuwe na tabia ya kunawa mikono kabla ya kushika nyuso zetu au macho yetu

Tutumie vitakasa mikono kila mara na tuzingatie kanuni za afya, tuepuke kushikana mikono

Asante mleta mada, mimi nimechanja ila sitopata red eyes kijinga
 
sijawahi kuugua huo ugonjwa
dawa ni moja niliyoishi nayo, ni kutopeleka mikono machoni
sikuchanjwa hiyo vaksin
 
Red eyes ni uchafu, watu wakiwa wasafi haaawezinpata red eyes, tuwe na tabia ya kunawa mikono kabla ya kushika nyuso zetu au macho yetu

Tutumie vitakasa mikono kila mara na tuzingatie kanuni za afya, tuepuke kushikana mikono

Asante mleta mada, mimi nimechanja ila sitopata red eyes kijinga
Vitakasa mikono tena? Vitakasa mikono ni kuua infectious agents....si uchafu per se...
 
Sijachanjwa na sijaugua hiyo research yako ya uongo nenda katafute chanjo nyingine ya red eyes
Soma post yangu vizuri! Sorry, it seems you are not a science oriented thinker....you can not say uongo in a confirmation tone. You make some reservation as a science oriented thinker! Kuna some exceptions in every hypothesis in science....... Think on those lines. Sijasema in a cofirmatory tone kuwa kuna linkage.... Nimesema...may be ....
Just to brain storm my observation
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom