raisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

    Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

    Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake. Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines. Raia...
  3. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya mwakani tukiwa na Rais mwingine na akaja na sababu zake za kutoongeza mshahara,watumishi wa umma watapaswa kusubiri tena?

    Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu mwenzako hasa kwa mambo sensitive ya ktaifa kama hili la haki na masilahi ya watumishi wa umma? Swala...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

    Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake. Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Rais Samia Suluhu asingevunja Katiba?

    Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja kukosa uhalali wa kuwa wabunge.. wengi wao walitegemea Mh Raisi akalikemee Jambo Hilo bungeni...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

    Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee. Kwa mantiki...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021. ==== Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatagombea Urais Uchaguzi mkuu 2025

    Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo. 1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika waziri anaruka ruka tuu hajui lipi ashike na lipi aache.Naibu wake...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

    Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu. Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kupeleka hela katika mifuko ya Watanzania wote

    Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali mpaka wanafunzi wa vyuo vya Juu makundi yote haya ilikuwa kila kukicha kauli kubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Bunge limevurugika?

    Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia. Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani...
  16. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kama taifa linaongozwa na 60% ya viongozi wasio na Upeo, maana yake hata Raisi yumo?

    Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana...
  17. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Pole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wangu mpendwa: Chunguza na kushughulikia tatizo moja dogo - ufa wa ukabila na ukanda

    Nakusalimia kwa salamu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hongera sana kwa kazi mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania sasa tumekuelewa vizuri na tuko pamoja na wewe. Mabadiliko uliyoyafanya ndani ya muda mfupi yanaonesha kweli ulikuwa karibu na mtangulizi wako na ulielewa alichokuwa...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

    Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016 Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Raisi Samia tusikilize wakulima ,tuna kero zetu

    Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko kutembelea masoko kwa maana ya sokoni au hata kwenye suprmarket zile kubwa kubwa. Ninachokiona kwa...
Back
Top Bottom