Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
2,743
2,000
Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake.

Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines.

Raia wa nchi hiyo waliwahi kumuonya rais wao kutokuchanjwa na chanjo ambazo bado zilikuwa hazijaidhinishwa na kwamba hazikuwa zimejaribiwa vya kutosha. Ikiwa kama ni jibu kwa watu wake raisi Duterte amesema 'Sitaki mtu yeyote afuate nyayo zangu.

Wacha niwe mimi peke yangu kwani inaweza kuwa hatari kwa afya ya miili yetu.Hakuna elimu ya kutosha kuhusiana na chanjo hizi'.

Kwa upande mwengine raisi Duterte ameiambia China kuwa kuanzia sasa iwe inawaletea chanjo za Sinovac pekee.

1620367695600.png

Philippines President Rodrigo Duterte has asked the Chinese Embassy to take back 1,000 donated Sinopharm vaccines, after he was criticised for taking an unapproved vaccine.

In response, Mr Duterte said China should in future only send Sinovac vaccines - a separate Chinese vaccine which is in use in the Philippines.

Sinopharm has not yet been approved in the Philippines.

Both Sinopharm and Sinovac are expected to receive WHO approval this week.

Mr Duterte said he only got the Sinopharm shot under a compassionate use clause, and that his doctors had advised him to get vaccinated.

"Don't follow my footsteps," Mr Duterte said, according to local media reports. "It's dangerous because there are no studies, it might not be good for the body. Just let me be the sole person to receive it."

Explaining Sinopharm was not approved yet and possibly had multiple side effects, he added, "let's just pull them out, so that there's no issue".

He also accepted criticism that the use of the unapproved vaccine was risky, saying: "We are sorry. You are right."

Both Chinese shots are inactivated vaccines, which work by using killed viral particles to expose the body's immune system to the virus without risking a serious disease response.

By comparison the Moderna and Pfizer vaccines being developed in the West are mRNA vaccines. This means part of the coronavirus' genetic code is injected into the body, triggering the body to begin making viral proteins, but not the whole virus, which is enough to train the immune system to attack.

Currently, the only approved vaccines available in the country are AstraZeneca and Sinovac and both are being administered to frontline workers and vulnerable groups.

According to local outlet Rappler, it is not clear why Mr Duterte might not have taken any of the vaccines that were approved for emergency use.

The Philippines is one the worst-hit countries in South East Asia with more than 1m cases and almost 18,000 deaths linked to Covid-19.

According to studies cited in local media, more than half of Filipinos are unwilling to get vaccinated against Covid over fears the shots are not safe.

The vaccine hesitation is largely attributed to a scandal around a dengue vaccine administered to children in 2016.

Duterte's administration already last year was under fire when the president's security personnel were inoculated with Chinese vaccines long before any jabs had officially arrived in the country.

Media captionChina has 16 vaccines in development but Sinovac and Sinopharm are the front-runners
 

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
9,927
2,000
Aisee kwani ilikuaje hadi akapata chanjo hiyo bila kujiuliza maswali hayo kwanza? Hiyo Sinivac anayoitaka wawe wanaletewa ndiyo wana elimu ya kutosha nayo ?ila kitu made in China mmh🤔
 

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,824
2,000
Kachanganyikiwa.Eti sasa wawaletee Sinovac tu. Anajuwaje nayo itakuwaje baada ya mwaka.
Mama Samia naye aangalie sana.Naona kasi anayokwenda nayo anataka kutuletea chanjo
Ni vyema kweli mama ajifufunze jambo muhimu kutoka kwa Duterte, na wengine wote waliositisha utoaji chanjo za covid 19 maana kwa haraka haraka hakuna iliyo salama kwa maisha yetu.

Tuendelee kuishi kwa nguvu za Mungu tu na tutavuka kuliko hizi chanjo zinazolalamikiwa kuleta matatizo na hata vifo kila kona ya dunia
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,542
2,000
"Rangu n dzitso"alisikika mdigo mmoja wa kijijini vumirira kule Duga!Sikujua maana yake.
 

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,149
2,000
Ok, hivi na ile Astrazeneca vipi niliskia nayo ilikua miongoni wa bora japo ilikua na viside effects, 🤔


Hiyo inazo side effects, mfano kwa baadhi ya watu damu huganda na hata kusababisha vifo, baada ya kuona hilo Angela Makel akasitisha chanjo hiyo kutolewa nchini mwake na akaagiza chanjo ya Sputnik kutoka Russia.
 

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
9,927
2,000
Hiyo inazo side effects, mfano kwa baadhi ya watu damu huganda na hata kusababisha vifo, baada ya kuona hilo Angela Makel akasitisha chanjo hiyo kutolewa nchini mwake na akaagiza chanjo ya Sputnik kutoka Russia.
Aisee thank you kwa maelezo mkuu na je kuna matokeo chanya yoyote kutokana na chanjo hizo like covid rate imepungua huko ama ndiyo still tupo window period ya chanjo? Natamani kusikia something good kuhusu hizo chanjo🤔
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
22,767
2,000
Watakachofanya China ni kubadilisha label.

Sinovac wataibandika kwenye hiyo Sinopharm na watairudisha tena Filipino. Wakishtukiwa watasema tulikua tunatest kama ni perception waliyojijengea kwamba Sinopharm ni mbaya ndiyo ilipelekea chanjo isiwe successful mara ya kwanza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom