Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti.
Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza kuvaa nguo karibu sawa na za kijeshi. Kuonesha ameshiba Imani za kikomunist Kama akina Fidel castor...
Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu...
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini.
Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa...
Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
Kwa miaka mingi tangu Tanzania ipate uhuru wa bendera haijawahi kutokea kiziwi akapata nafasi katika uongozi , iwe
Ubunge, Udiwani, Umeya, ukuu wa wilaya , Ukuu wa Mikoa, Katibu tawala na hata Ukurugenzi. Katika teuzi za wakurugenzi za Rais Samia hatujaona akiwakumbuka walemavu wa uziwi...
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).
Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba...
Ni dawa inayosemekana inatibu covidi kwa asilimia miamoja na pia kuwaepusha wagonjwa katika chumba cha kusubiria kifo. Nenda kaguguli uone huko duniani kumebadilika.
When was Sotrovimab approved?
The European Medicines Agency approved Sotrovimab for select COVID-19 patients on May...
Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii.
Watu wawili ambao ni raia wa Ufaransa ni miongoni mwa watu kadhaa waliokamatwa katika kisiwa hicho kilichopo katika...
Serikali hii ilianza vibaya. Walianza kwa kujitenga na Magufuli bila kujua watanzania wengi walimpenda, na hata ambao hawakumpenda walihuzunishwa na kifo chake kwakua walimzoea.
Hapa tulipofikia, wale waliotakiwa kuridhika na serikali kutokua chini ya Magufuli, hawaridhiki na serikali iliyopo...
Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita.
Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi.
Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
Hongera/pole kwa majukumu, Rais Samia hongera kwa jitihada ulizoanza kuzionyesha kwa kipindi hiki ulichoshika madaraka vitu kama mahusiano ya kimataifa, uhuru wa vyombo vya habari, haki za binadamu na demokrasia ni baadhi tu ya mambo ambayo umeelekeza nguvu na kiukweli nikupe hongera katika...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.