Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
Mzuka wanajamvi!
Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad.
Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli.
Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema.
Askofu Kakobe...
NA RAJAB MKASABA, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili.
Alisema hatua hiyo...
Jana Ndege nyingine iliwasili nchini na hafla fupi ikafanyika kama ilivyo kawaida na Serikali ya awamu ya tano kujipongeza kwa hatua hiyo,Tuliwaona pia wanaccm wakifurahia Serikali iliyochini yao ikiongeza Ndege nyingine
Mimi ni mwanachi wa kawaida SIJAFUNGAMANA na upande wowote baada ya...
Na Elius Ndabila
ewndabila@yahoo.com
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
Waziri Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa 18 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kutoka Afrika na kwingineko duniani utakaofanyika Baku, Azerbaijan.
Mkutano huo unalenga kujadili...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo...
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.
Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.
Mjapani ameniuliza kama...
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.
Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.
Mjapani ameniuliza kama...
Mara nyingi nimeshuhudia mawaziri wakiwabembeleza wabunge wawapatie fedha za maendeleo kwa kuzipitisha bajeti zao ndani ya bunge zima
Lakini pia kuna wakati huwa nawaona wabunge wakimuomba Rais awajengee ama barabara, hospitali nk.....na hii niliishuhudia juzikati kwa Nape kule Mtama na hata...
Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.
Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28...
KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU
SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO
NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA
MSIKURUPUKE KUJA HUMU
KAMA MKO...
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja.
Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
Felister Mkombo ambaye ni mama mjane anayeishi Namanyele huko Rukwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumfuta machozi kufuatia kuibiwa ng'ombe zake.
Felister anasema Mkuu wa wilaya na mkuu wa polisi wilaya wameshamlipa sh milioni 15 ambazo ni fidia ya ng'ombe wake kama alivyoagiza mtetezi wa...
viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali.
Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.