rais

  1. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is this true? Eti Rais Uhuru na Raila walimsaidia kichini chini Rais wa DRC kushinda urais

    Kenyatta, Odinga helped DR Congo's Tshisekedi win presidential poll Kenya's President Uhuru Kenyatta (left) welcomes the President of the Democratic Republic of the Congo Felix Tshisekedi at State House, Nairobi on February 6, 2019. PHOTO | PSCU Kenyan President Uhuru Kenyatta and opposition...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sikukuu zimeisha, Rais Magufuli tunakuomba uanze ziara

    Naandika hivi ni kwa sababu Mh Rais unapokuwa katika ziara zako hapo ndipo kero za wananchi huibuliwa na kutatuliwa. Maana wengi wa wasaidizi wako ni kama hawana msaada kwa wananchi. Misafara yako inaposimama kila mahali hapo ndipo akina mama na wazee walioonewa na kudhulumiwa huwa unawasaidia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh Rais Dkt Magufuli, Wape muda watanzania, tatizo ni NIDA

    MH RAIS WAPE MUDA WATANZANIA, TATIZO NI NIDA. Na Elius Ndabila 0768239284 Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyenipa afya njema na nguvu ili niweze kukuandikia barua hii ya wazi Mh Rais. Pia nitumie wasaa huu kuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania wote ambao Mungu...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna umuhimu wa kupiga kura 2020 wakati tume iko mfukoni kwa Rais?

    Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura? Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

    Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani. Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  9. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wazee mnataka kumpongeza Rais Magufuli kwa sababu gani maana isiwe tu mnafuata mkumbo wa kupongeza?

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka wazee wa mkoa huo kutoa sababu za kutaka kumualika Rais Magufuli ili wampongeze, amewataka wajihoji mmoja mmoja na kujiuliza wanampongeza kwa jambo gani maana isiwe wanafuata mkumbo tu. Chalamila amesema hayo kwenye kongamano la wazee wa mkoa wa...
  10. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

    Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole. Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili. Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Yaani Rais anafitinishwa hivi hivi - Usajili wa laini simu usilete chuki

    Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mfichuasiri wa Marekani aliesababisha Rais Trump kuanza Kuchunguzwa ajulikana

    Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa. Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano. Naomba kuanza na angalizo, Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi awafukuza kazi Majenerali 5

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za serikali, Majenerali 5 waliokuwa wakitumika katika sehemu mbalimbli nchini humo kama vile wizara ya mambo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

    Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo. Uongozi wake dhabiti, ujasiri na...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kituo cha usalama kinachomlinda Rais Mstaafu wa Nigeria chashambuliwa na askari mmoja ameuawa

    Kituo cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria Bw. Goodluck Jonathan katika jimbo la Bayelsa, nchini Nigeria kimeshambuliwa na watu wenye silaha wasiojulikana na askari mmoja ameuawa. Msaidizi wa Bw. Jonathan anayeshughulikia mambo ya habari amesema watu hao wenye...
  18. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

    Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe. Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua. Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni. Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali. Tumuombee Rais wetu...
  19. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
Back
Top Bottom