rais

  1. J

    Waziri anaomba fedha kwa wabunge na mkuu wa mkoa anaomba fedha za maendeleo kwa Rais sijaelewa hii imekaaje?

    Mara nyingi nimeshuhudia mawaziri wakiwabembeleza wabunge wawapatie fedha za maendeleo kwa kuzipitisha bajeti zao ndani ya bunge zima Lakini pia kuna wakati huwa nawaona wabunge wakimuomba Rais awajengee ama barabara, hospitali nk.....na hii niliishuhudia juzikati kwa Nape kule Mtama na hata...
  2. C

    Kuhusu hospital ya wilaya ya Ubungo, ni propaganda au Rais kapotoshwa na RC?

    Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba. Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28...
  3. BASIASI

    Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  4. Tulimumu

    Bora rais wetu hakwenda Urusi kuliko hawa walioenda kuuchapa usingizi mkutanoni

    Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
  5. M

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
  6. Ng'wamapalala

    Ukomo wa Rais wa Tanzania na Zanzibar ulipangwa au nasibu?

    Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja. Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
  7. J

    Felister Mkombo amshukuru Rais Magufuli, asema DC na OCD wamemlipa Tzs milioni 15 kama alivyowaagiza

    Felister Mkombo ambaye ni mama mjane anayeishi Namanyele huko Rukwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumfuta machozi kufuatia kuibiwa ng'ombe zake. Felister anasema Mkuu wa wilaya na mkuu wa polisi wilaya wameshamlipa sh milioni 15 ambazo ni fidia ya ng'ombe wake kama alivyoagiza mtetezi wa...
  8. elivina shambuni

    Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  9. J

    Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

    Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo. Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
  10. J

    Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

    Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China. Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar. Source Eatv habari!
  11. Mukulu wa Bakulu

    Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

    Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino. Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea...
  12. Hero

    Matumizi ya nembo ya Rais kwa Rais Mstaafu yapoje?

    Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu. Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu? Kwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu? Na matumizi ya nembo ya Rais imekaaje hapo. Najaribu kuwaza kwa...
  13. Mzee Mwanakijiji

    Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe) Na. M. M. Mwanakijiji Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
  14. elivina shambuni

    Watumishi na viongozi wa umma waaswa kuiga utendaji wa Rais Magufuli

    Watumishi na viongozi wa umma, hasa wa wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi wameobwa waige na kufuata nyayo za Rais Dkt John Magufuli za katika kushughulikia kero za kijamii. Mzee Mohamed Auko (80) ambae ni miongoni mwa wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo alisema watendaji na viongozi hawana...
  15. GENTAMYCINE

    Tatizo la ‘ Watendaji ‘ walioaminiwa na Rais Dkt. Magufuli huwa linaanzia kama hivi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametengua kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ya kuzuia wananchi wa Ilala kuabudu katikati ya wiki, ameamuru wananchi waendelee na ibada kwa kufuata utaratibu. Chanzo: #MwananchiUpdates Kuna Mtu Siku nyingi sana aliwahi kuniambia kuwa...
  16. MK254

    Rwanda na Urusi waingia kwenye makubaliano ya nyuklia

    Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa... Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo huambatanishwa kwenye misaada ya mataifa ya magharibi. ''Tunaona jinsi mataifa ya magharibi yanavyotoa...
  17. J

    Wakurugenzi wa halmashauri watii agizo la Rais Magufuli

    Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019. DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
  18. Pascal Mayalla

    Rais Magufuli azidi Kuthibitisha kuwa ni Rais wa watu, anawasikiliza watu Hakuna cha 'Mswalie Mtume' big Up Rais Magufuli

    Wanabodi, Naomba kuanza na lile angalizo langu la siku zote, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, kwenye maovu nalaani, na kwenye mapungufu natoa ushauri wa bure. Andiko hili ni la pongezi, hivyo kama wewe ni mmoja wa watu wa lile kundi ambalo linakereka kila rais Magufuli na awamu...
  19. J

    Waziri Mkuu Majaliwa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Urusi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameelekea nchini Urusi ambako atamwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa viongozi wakuu wa Urusi na wale wa Afrika. Waziri mkuu atapata fursa ya kuzungumza na Rais Putin atakapokuwa nchini humo. Chanzo: Channel ten!
  20. Ng'wamapalala

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu. Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
Back
Top Bottom