Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Fair

Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
34
Reaction score
161
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
1584365086268.png
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
 
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Silaha gari nzima hofu nini tz kisiwa cha amani!
 
Back
Top Bottom