Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

Duh.. !.
Huyu jamaa ni mdogo wangu shule ya sekondari ya Ilboru, sisi tukiwa A level, dogo alikuwa O-Level.
Tukakutana tena Umoja House mimi nikiwa BHC yeye akiwa Uholanzi.

Nimekisikia kuzungu chake nikachoka!.
Kwenye the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, Zitto na Lissu pekee ndio wapinzani wanaoweza kumkabili Magufuli kwenye urais na rais Magufuli akasikia japo kijoto joto cha uchaguzi. Hivyo hao hawafai, then there's nobody else.

P
 
ACT tumewashauri mambo mengi ya msingi ila kwa bahati mbaya hawajaweza kuyachukulia kwa umuhimu unaostahili. Wanafuata siasa zile zile za madaraka na matukio. Siasa hizo ni cheap sana na hazina future hasa kwa vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom