Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha kiuchumi unatawala miongoni mwa Watanzania.

Wakati haya mabadiliko makubwa na hatari yanatokea sisi tunataka kubadilisha baba au kiongozi mkuu wa nchi hii ni hatari sana kwani uchaguzi pekee ni hatari hasa katika uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa mfano kama tupo safarini katika basi na gari likianza kuyumba huwa tunajishikilia katika viti au machuma maalumu katika gari sasa itakuwa ujinga kwa watanzania wakati dunia inayumba sisi pia ndani tunajiyumbisha badala ya kujishikilia eti kwa sababu za kisiasa, naomba hekima sasa itumike.

Ninawaasa wanasiasa wenzangu na wadau wote tumuweke Mungu mbele hakuna wakati wa kuwa kitu kimoja kama kipindi hiki cha janga hili la Korona kwani tukivuka salama ni rahisi kurudi katika maisha ya kawaida. Napenda kukiomba chama tawala kubadili misimamo yakekuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani usalama wa taifa zima ni muhimu kuliko uchaguzi wa Raisi. Inamaana gani anachaguliwa Raisi mwingine anaingia madarakani wakati nchi iko ziii hakuna ndege inayoruka, hakuna biashara, hakuna utalii, shule zimefungwa, watu wamefungiwa ndani hii haina maana. na kama kunamtu anataka pia kugombea uraisi kipindi hiki basi huyo anauchu wa madaraka au maslai binafsi au ni maslahi kikundi cha watu wachache. Stabiliti ya nchi kisiasa ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.

Naomba Chama Cha Mapinduzi, Chadema, CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na vingine kunahaja ya kukaa pamoja na kuweka sawa jambo hili kwa manufaa mapana ya taifa letu, nashukuru nilipata kuonana na mmoja wa kiongozi wa chama alionyesha kukubaliana na hili naye aliniambia kwa masilai yake binafsi na chama chake halipendezi lakini kwa maslai mapana ya taifa linafaa.

Nimeamua kuwaandikia barua wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi, Chama Cha Democrasia na Maendeleo, Civil United Front, NCCR Mageuzi, ACT wazalendo hili mkubaliane na hekima itumike hasa katika kipindi hiki kigumu cha janga hili la corona duniani, wote kwa umoja wetu tukubaliane kwa maslai mapana ya taifa hili, na ndugu yetu Joni Pombe Magufuli aendelee ili atuvushe katika hiki kipindi cha hatari.

Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
 
Kwani hata wakitangaza mshindi bila kufanya uchaguzi kunatatizo gani?au wafanye uchaguzi hadi 2035 kuna shida?
 
Umetumwa???
Kampeni zitafanyika kwa vyombo vya habari kama redio,televisheni,zimu,magazeti na mitandao.
Kura zitapigwa kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi vijana wa Lumumba bwana, mkishapewa buku saba zenu ni kuja huku na kuanza kuwakaririsha Watanzania vitu ambavyo havipo sisi tunachohitaji ni tume huru kwanza na uchaguzi ni constant!!! No hate, No fear!!
 
Mgaya kuwa mzalendo wa nchi yako Magu atapita, Mbowe atapita na wewe pia utapita tanua mawazo kwa maslai mapana ya wajukuu wa vitukuu vyako ushindani wa vyama vyetu si busara kwa sasa.
Changia hoja.
 
Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha kiuchumi unatawala miongoni mwa Watanzania.

Wakati haya mabadiliko makubwa na hatari yanatokea sisi tunataka kubadilisha baba au kiongozi mkuu wa nchi hii ni hatari sana kwani uchaguzi pekee ni hatari hasa katika uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa mfano kama tupo safarini katika basi na gari likianza kuyumba huwa tunajishikilia katika viti au machuma maalumu katika gari sasa itakuwa ujinga kwa watanzania wakati dunia inayumba sisi pia ndani tunajiyumbisha badala ya kujishikilia eti kwa sababu za kisiasa, naomba hekima sasa itumike.

Ninawaasa wanasiasa wenzangu na wadau wote tumuweke Mungu mbele hakuna wakati wa kuwa kitu kimoja kama kipindi hiki cha janga hili la Korona kwani tukivuka salama ni rahisi kurudi katika maisha ya kawaida. Napenda kukiomba chama tawala kubadili misimamo yakekuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani usalama wa taifa zima ni muhimu kuliko uchaguzi wa Raisi. Inamaana gani anachaguliwa Raisi mwingine anaingia madarakani wakati nchi iko ziii hakuna ndege inayoruka, hakuna biashara, hakuna utalii, shule zimefungwa, watu wamefungiwa ndani hii haina maana. na kama kunamtu anataka pia kugombea uraisi kipindi hiki basi huyo anauchu wa madaraka au maslai binafsi au ni maslahi kikundi cha watu wachache. Stabiliti ya nchi kisiasa ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.

Naomba Chama Cha Mapinduzi, Chadema, CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na vingine kunahaja ya kukaa pamoja na kuweka sawa jambo hili kwa manufaa mapana ya taifa letu, nashukuru nilipata kuonana na mmoja wa kiongozi wa chama alionyesha kukubaliana na hili naye aliniambia kwa masilai yake binafsi na chama chake halipendezi lakini kwa maslai mapana ya taifa linafaa.

Nimeamua kuwaandikia barua wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi, Chama Cha Democrasia na Maendeleo, Civil United Front, NCCR Mageuzi, ACT wazalendo hili mkubaliane na hekima itumike hasa katika kipindi hiki kigumu cha janga hili la corona duniani, wote kwa umoja wetu tukubaliane kwa maslai mapana ya taifa hili, na ndugu yetu Joni Pombe Magufuli aendelee ili atuvushe katika hiki kipindi cha hatari.

Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
Nakubaliana na wewe kuwa endapo tishio la janga la COVID-19 litaendelea kuwa tishio kwa Watanzania hadi ifikapo tarehe ya uchaguzi, basi kutakuwa na kila sababu ya kuaihirisha uchaguzi huu mpaka 2021.

Lakini pia kwa kuwa uongozi uliopo utakuwa umemaliza muda wa kikatiba wa kubaki madarakani, iwapasa waondoke ili uchaguliwe uongozi wa mpito, pengine kutoka mhimili wa mahakama ili ndio upewe dhamana ya kutuvusha ktk kipindi hicho.

Aisee hapo sijui Katiba yetu inasemaje.....!!

Kijana wa Msamvu Nyandira@Morogoro. Nazikumbuka harakati zako mkiwa hasimu na Makko pale Ushirika hatimaye ukarudi kundini.

Akili ndefu na kubwa pekee ndio zitakuelewa una-propose nini ukiazimia kutanguliza utu bila kujali Naslahi ya Uvyama ili tupambane na kulinda uhai wa Wanajamii wa TAIFA hili kwanza ndipo Sasa zifate.

Nchi na Dunia kwa sasa site tuko kwenye Vita na adui ni hili gonjwa, sasa kazi ya Amiru Jeshi yeyote kwa TAIFA lake ni kupambana na hii Pandemic ndipo sasa zifate.

Tuombe Mungu hali iwe stabilized na ndipo tutajua kuwa tunaendelea na Sasa za Chaguzi ama Siasa za hili gonjwa linalouwa watu na kuharibu Uchumi wa Mataifa karibu yote Duniani.

Z
 
H
Nakubaliana na wewe kuwa endapo tishio la janga la COVID-19 litaendelea kuwa tishio kwa Watanzania hadi ifikapo tarehe ya uchaguzi, basi kutakuwa na kila sababu ya kuaihirisha uchaguzi huu mpaka 2021.

Lakini pia kwa kuwa uongozi uliopo utakuwa umemaliza muda wa kikatiba wa kubaki madarakani, iwapasa waondoke ili uchaguliwe uongozi wa mpito, pengine kutoka mhimili wa mahakama ili ndio upewe dhamana ya kutuvusha ktk kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya Tanzania haizungumzi lolote kuhusu Serikali ya Mpito. Bali inasema Rais aliyepo madarakani atakoma kuwa Rais pale Rais mpya atakapoapishwa. Hivyo basi, endapo uchaguzi utaahirishwa (na siombei litokee) Rais Magufuli ataendelea kuwa Rais wa JMT.
 
Du
Kijana wa Msamvu Nyandira@Morogoro. Nazikumbuka harakati zako mkiwa hasimu na Makko pale Ushirika hatimaye ukarudi kundini.

Akili ndefu na kubwa pekee ndio zitakuelewa una-propose nini ukiazimia kutanguliza utu bila kujali Naslahi ya Uvyama ili tupambane na kulinda uhai wa Wanajamii wa TAIFA hili kwanza ndipo Sasa zifate.

Nchi na Dunia kwa sasa site tuko kwenye Vita na adui ni hili gonjwa, sasa kazi ya Amiru Jeshi yeyote kwa TAIFA lake ni kupambana na hii Pandemic ndipo sasa zifate.

Tuombe Mungu hali iwe stabilized na ndipo tutajua kuwa tunaendelea na Sasa za Chaguzi ama Siasa za hili gonjwa linalouwa watu na kuharibu Uchumi wa Mataifa karibu yote Duniani.
Du. poa homeboy naona umenisoma asante
 
Nilivyoona heading ya thread tu, nilijua mleta mada lazima atakuwa amesign off na namba ya simu. Wisdom will surely kill me one of these days😎
 
Ni mtazamo wako binafsi hii imetokana na wengi wenu kuweka uchama mbele kuliko taita hivyo lazima utafute vitu vingi vya kulinda chama chako au maslai ya chama chako
 
Umepata wapi guts za kupingana kauli ya Mh.Rais wewe mleta mada? Huu ni uhaini na ukosefu wa nidhamu..Mh.Rais anasema uchaguzi upo pale pale eti anajitokeza mtu na kusema tusifanye uchaguzi.... Aiseee
 
Ni mtazamo wako binafsi hii imetokana na wengi wenu kuweka uchama mbele kuliko taita hivyo lazima utafute vitu vingi vya kulinda chama chako au maslai ya chama chako
Anaeongelea vyama ni wewe maana mimi sijasema chochote. Endelea kulinda chama chako tu, sio kosa kisheria na una haki zote kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom