rais

  1. JamiiForums Tanzania Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa. Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

  4. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja 10 za Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu kuhusu Rais kutoshtakiwa mahakamani

    Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumekuwa mstari wa mbele kuiwajibisha Serikali Mahakamani. Rais alipomwondosha CAG Prof. Assad kinyume na Katiba, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe alimpeleka Mahakamani. Pia, Rais alipomteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiye na vigezo vya kikatiba, nilimpeleka...
  6. JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu? 1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu. 2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima kila ibada atakayohudhuria Rais, azungumze?

    Wakuu Salamu, Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza? Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona...
  9. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa ni Kina nani?

    Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma. Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania. Nimejiuliza 1. Hilo baraza lina watu wa namna gani 2. Kina nani ni member wa hilo baraza 3. Muundo wa baraza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona

    Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona. Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
  11. JamiiForums Tanzania Joe Biden ashinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kugombea nafasi ya urais nchini Marekani

    Joe Biden ameshinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kumkabili rais Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais utakaofanyika panapo mwezi Novemba mwaka huu. Biden amesema katika ukurasa wake wa Twitter kwamba amefanikisha kujikusanyia wajumbe 1,991 wanaohitajika ili kupitishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Misamaha anayoombwa Rais Magufuli na wale wanaokiri kuwa wamemkosea ina walakini

    Nimemsikikiza kwa makini Mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais Nimemsikiliza pia...
  13. JamiiForums Tanzania Risala ya Chama cha Walimu Tanzania iliyosomwa kwa rais Magufuli na Katibu Mkuu Mwl. Deus G. Seif - JUNI 05, 2020

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kusipokuwa na uchaguzi wa kuchagua Rais kuna haja ya kufanya uchaguzi?

    Wana CCM wengi sana wanatamani kwa mtizamo wao ghushi na uliojaa ugoto katika kufikiri, kuwa John Magufuli asipingwe na mgombea toka CHADEMA. Wao wanadai kwa aliyoyafanya Magufuli kama Rais wa Tanzania hakuna haja ya kupingwa. Lakini najiuliza kama Magufuli wanataka apite bila ya kupingwa, je...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

    Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona. Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  17. JamiiForums Tanzania Waamerika wajichambua kufuatia mauaji ya George Floyd, maandamano na matamshi ya Rais Mstaafu Barack Obama

    In 2008, Barack Obama campaigned as a new kind of politician, someone who could bring America's disparate factions together in a new era beyond partisan politics. Like many of Obama's campaign promises, things haven't quite worked out that way. After eight years of his own partisan attacks...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika, SADC, EAC na UN mpeni Rais Magufuli tuzo ya heshima

    Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa. Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora. Pamoja na hatua madhubuti...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

    Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli. Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…