rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

    Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni: 1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara 3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam 4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015, ambazo ziligeuka uongo

    Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo” Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  5. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku. Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli. Nakupongeza kwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kweli Dullah Planet anastahili kuitwa rais wa Bongo Flavour?

    Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa. Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye tasnia ya burudani na michezo. Nisingependa kuongelea kwenye michezo maana hayo yamepita na...
  9. JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo. Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota...
  11. JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

    " TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kasi ya Rais Magufuli imemshinda Abood, anaweza asipitishwe kugombea Morogoro Mjini

    Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa. Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi wake wangekuwa wanamsaidia vizuri Rais kuitangaza na kuifafanua kwa wananchi Miongoni mwa miradi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona

    Amiri mkuu wa Shura ya maimamu Shehe Kundecha amekana Taasisi anayoiongoza kutoa waraka wowote unaohusu uchaguzi. Kundecha amesema yeye kama kiongozi mkuu wa waislamu hana taarifa yoyote juu ya waraka unaosambazwa mitandaoni na kwamba waraka huo ni feki. Shehe Kundecha amempongeza Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Mahesabu makali ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Rais mstaafu, Ally Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa CCM leo amesema kuwa katiba lazima iheshimiwe lakini Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata. Mahesabu yake haya hapa, Magufuli akiongezewa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  17. JamiiForums Tanzania Malawi waandamana kumpinga Rais Chakwera

    Hatimaye taifa la Malawi lina rais mpya kutoka upande wa upinzani kufuatia uchaguzi wa marudio uliokumbwa na mbwembwe za kila aina kati ya rais anayeondoka na upinzani. Lazarus Chakwera ambaye ni muhubiri wa zamani wa kanisa la Evangelisti aliibuka mshindi baada ya kumbwaga rais wa zamani kwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

    Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mambo unayoyafanya yatadumu?

    Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni. Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia. Kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…