rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

    Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli. Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Jamani Rais Muogope Mungu! Ajira mil 6 zimezalishwa kweli?

    Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira. Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza? Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia? Huyu mwingine bachelor of...
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti Taifa wa CCM anaogopa Watu Kuchafuana na Kupeana maneno ya Shombo Kipindi hiki cha kuelekea Kuanza kwa Kampeni za CCM?

    Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya. Kwanini Mwenyekiti...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema kuzunguka nchi nzima kumnadi Rais Magufuli

    Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP Taifa Pia soma Uchaguzi 2020 - TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

    Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa kuteuliwa na Rais wayavamia majimbo kwa kishindo, Alhaj Bulembo astaafu

    Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi. Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu. Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya...
  7. mangikule

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tafakari hili haraka sana, Wapambe wanakudanganya

    Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana! Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Gadaffi na Sadam...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Mobotu alimtumia Nguli wa Muziki Franco Luambo Luanzo Makiadi katika kampeni za kuwania Urais wa Zaïre

    Inaelezwa kuwa huu ni moja ya wimbo mkubwa zaidi wa kueneza propaganda iliyowahi kutengenezwa Afrika na Duniani kwa ujumla. Wimbo huu uliimbwa na Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Rhumba kutoka nchini Zaire(DR Congo kwa sasa), Franco Luambo Luanzo Makiadi mnamo 1984 wakati wa vuguvugu la uchaguzi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa DRC: Mfalme Philippe wa Ubelgiji amtumia barua Rais Felix Tshisekedi na kuelezea majuto yake kutokana na utawala wao nchini humo

    Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

    Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa. Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anakosea kwa kuamini kuwa anaweza wachagulia wabunge kwenye majimbo yao

    Tafsiri ya neno demokrasia ni kiongozi aliyechaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki kwa ajili ya kuwatumikia watu Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli katika ziara yake akiwa huko Kimamba-Kilosa, mkoani Morogoro akiwaambia wakazi wa huko kuwa eti walikosea kumchagua mbunge wao, kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT. Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

    Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe. Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema... Mimi narudia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais wa kwanza ambaye ni zao la mfumo wetu wa elimu kwa 100%

    Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali. Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshajiridhisha kamwe mama yetu Samia hatawahi kuwa rais

    Dah jamaa anazungukwa na walinzi wakali wanasura ngumu halafu wanamacho makali kama ya mwewe. Yale yaliovaa mabakabaka ni mapande ya watu yamepanda hewani yameshiba nasikia yana shabaha balaa na bunduki zao za ajabu ajabu zilizosheheni risasi za kutosha. Kweli nimejiridhisha mama yetu Samia...
  17. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    SOMA PIA>>>Live: Majaribio ya meli kubwa ya kisasa (New Victoria) fuatana nasi kupitia TBC1
  18. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Mambo ni moto Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Rais Magufuli mimi si lolote si chochote nitaendelea kukutii na kutangaza kazi zako!

    Kumekucha uchaguzi mkuu 2020 Waziri wa Tamisemi Jaffo amesema Rais Magufuli hana sababu ya kwenda Kisarawe kufanya kampeni kwa sababu kazi zake ni kampeni tosha. Jaffo amesema yeye si lolote si chochote lakini Rais Magufuli alimteua na kumkabidhi kwa maaskofu na viongozi wa dini wamuombee na...
Back
Top Bottom