Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Rais mstaafu, Ally Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa CCM leo amesema kuwa katiba lazima iheshimiwe lakini Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.
Mahesabu yake haya hapa, Magufuli akiongezewa miaka mitano maana yake mwanaye atakuwa katimiza miaka kumi kama Rais wa Zanzibar hivyo Magufuli akiongeza muda wake huo wa nyongeza atamwachia kijiti cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.
Mahesabu makali ya mzee Mwinyi ndio haya.