Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa,
Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
Kwa uteuzi aliofanya leo wa kumteua Kamishna Thobias Andengenye kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Mkoa wa Kigoma, ni lazima sasa kila Rais anapotoa sababu za kumtumbua mteule wake, ni lazima Wananchi tuchunguze kwa jicho la tatu, je ni kweli sababu anazotoa Rais Magufuli, kuwa ndiyo zenyewe...
Mheshimiwa Rais,
Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
Kama ilivyo ada na kwa jinsi hali ya hewa ya siasa ilivyo kwa sasa ni wazi kabisa kwamba sasa ni Rasmi JPM ndiye mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Tunatambua kuwa JPM anayo nia, sababu na uwezo wa kuhakikisha kwamba anabaki madarakani katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Mengi...
Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama...
Mh. RAIS WETU
Kwanza kabisa napenda kukupa pole kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa uliyonayo tuliyokutwisha tangu mwaka 2015.
Vile vile napenda kukupa pongezi na hongera kwa mambo makubwa unayofanya na hatua nzuri unazochukua za kutujari watanzania ikiwemo kutuepusha na janga la homa kali...
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.
Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Putin ambaye biashara zake...
World Bank wameikopesha Tanzania mabillioni ya shilingi na wao furaha yao ni kuona wanalipwa hela zao kama zilivyo Taasisi zingine za fedha ambazo zingependa wateja walipaji wazuri, imeelezwa kuwa tangu Rais Magufuli aingie ameonyesha nidhamu ya hali ya juu sana kwenye ulipaji wa madeni ya...
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.
Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?
Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza...
Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka.
Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu...
Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
Wakati MATAGA mkishangilia sana ni kuwa Rais Magufuli hajafanya chochote zaidi ya siasa ambazo jana tu nilimuweka kundi la watu wasio jua kuweka facts huku nikimpa namba 1.
Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005 GNI ilikuwa 500USD ila mwaka 2010 pamoja na kupigwa makombora kila kona GNI...
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira.
Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza?
Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia?
Huyu mwingine bachelor of...
Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya.
Kwanini Mwenyekiti...
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP Taifa
Pia soma
Uchaguzi 2020 - TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya...
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya...
Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!
Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Gadaffi na Sadam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.