Uchaguzi 2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,080
2,000
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.

Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano

1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa aliteuliwa ubunge ili ampe uwaziri ili amsaidie majukumu katika sekta ya elimu.ni mama aliyependwa na mdau yoyote wa maendleo ya elimu enzi za Kikwete ila kwa sasa amepwaya labda ile tumbua tumbua ya Magufuli imemfanya akagombee ubunge ili akitumbuliwa uwaziri abaki na ubunge .

2. Philip Mipango ni Dkt sikuwahi kumskia popote pale katika medani za siasa nae anataka ajitose kwenye ubunge...huenda sababu ni ile Ile kuwa hawana uhakika wa kudumu katika huo uwaziri tumbua tumbua ya Magu kila wakati inawatisha

3. Kabudi - huyu ndio n mwanasiasa/mwanasheria hakuwai kuwa na ndoto ya kuja kuwa mbunge ...sijui boss amemtuma au hajui anapokwenda...anataka kuwa mbunge akiwa mzee .

4.
5.
6.
Mlolongo wa hawa mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge wa JMT badae kuwapa uwaziri kwa nini kama wamefanya kazi vizuri na Rais wasisubiri kuteuliwa tena ili kushika madaraka hayo hayo.

Nikiwa na imani kuwa MAGU ATARUDI MADARAKANI hata kwa dola.

Waachie wengine nafasi (Hasa vijana)
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,209
2,000
Ridhikeni Na Vyeo Ninavyowapa Huwezi Kuwa Na Kila Kitu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!
""""""""""""""""""""""""""""

Vijana Tafuteni Kazi Nyingine
 
Watu bado hawajaridhika tu
Wasiwasi kila sehemu.
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
3,773
2,000
Uwaziri siyo ajira ya kudumu, muda wao unaisha so wana haki ya kutafuta kazi ili mradi wa vigezo, acha wivu, somA na wewe ufanye kama wao.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,512
2,000
Uwaziri siyo ajira ya kudumu, muda wao unaisha so wana haki ya kutafuta kazi ili mradi wa vigezo, acha wivu, somA na wewe ufanye kama wao.
Una ile video ya mama Ndalichako akipiga ngeli pale kwny ujenzi kwa wachina utuwekee hapa?
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,062
2,000
Hawa mawaziri sio wabaya hata kidogo,tatizo sera na maagizo kutoka juu yanawanyima uhuru wa kufanya bila kuingiliwa na mtu au watu wengine.
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,434
2,000
Ridhikeni Na Vyeo Ninavyowapa Huwezi Kuwa Na Kila Kitu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!
""""""""""""""""""""""""""""

Vijana Tafuteni Kazi Nyingine
Uelewa wako mdogo. Mbunge ataridhika vipi wakati kazi imeshaisha?. Uwaziri hauwezi kuendelea baada ya October.
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,618
2,000
Nani asiyependa mafanikio jamani. Kwani siasa ina time limit ya kuanza ?Acheni mawazo mfu. Even the sky is no longer a limit.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,130
2,000
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.

Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano

1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa aliteuliwa ubunge ili ampe uwaziri ili amsaidie majukumu katika sekta ya elimu.ni mama aliyependwa na mdau yoyote wa maendleo ya elimu enzi za Kikwete ila kwa sasa amepwaya labda ile tumbua tumbua ya Magufuli imemfanya akagombee ubunge ili akitumbuliwa uwaziri abaki na ubunge .

2. Philip Mipango ni Dkt sikuwahi kumskia popote pale katika medani za siasa nae anataka ajitose kwenye ubunge...huenda sababu ni ile Ile kuwa hawana uhakika wa kudumu katika huo uwaziri tumbua tumbua ya Magu kila wakati inawatisha

3. Kabudi - huyu ndio n mwanasiasa/mwanasheria hakuwai kuwa na ndoto ya kuja kuwa mbunge ...sijui boss amemtuma au hajui anapokwenda...anataka kuwa mbunge akiwa mzee .

4.
5.
6.
Mlolongo wa hawa mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge wa JMT badae kuwapa uwaziri kwa nini kama wamefanya kazi vizuri na Rais wasisubiri kuteuliwa tena ili kushika madaraka hayo hayo.

Nikiwa na imani kuwa MAGU ATARUDI MADARAKANI hata kwa dola.

Waachie wengine nafasi (Hasa vijana)
Ni uchu, ulafi, uroho, ulevi na tamaa ya madaraka tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom