rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais bado anaweza kuteua au kutumbua?

    Baada ya kuvunja Bunge hivi Katiba au Sheria husika inasemaje kuhusu majukumu ya Rais kutumbua Mawaziri, kuteua Watendaji, n.k? Je, pia mfano inatokea vita, Bunge linaweza kuitishwa kwa dharura ya kuidhinisha nchi yetu kwenda vitani kwa sasa?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru says he is not interested in clinging to power after 2022

    President Uhuru Kenyatta has promised to respect his constitutional 2-term presidential limit when it expires in 2022. Speaking during a live discussion with a US-based Think Tank- Atlantic Council- the President downplayed claims that the looming referendum would see him seek another term in...
  5. mgt software

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara haitakaa iongozwe na anayetoka familia ya Rais. Huku tunaangalia utendaji sio huruma kulinda familia

    Wana Jf, Nimesoma thread mbalimbali zikimwonyesha mtoto wa Rais mstaafu kuwa anaandaliwa kuja kuwa Rais wa JMT baada ya kustaafu Magufuri 2025, Rais Magufuri Urais ameupigania kuanzia pale alipochukua form kugimbea ubunge, kwani ndiko alijiandaa mwenyewe kupitia kazi zake alizokuwa anatumwa na...
  6. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

    Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China atoa salamu kwa mkutano wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”

    Mkutano wa ngazi ya juu wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika leo hapa Beijing. Katika salamu zake kwa mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema, China inapenda kushirikiana na nchi nyingine kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja. Amesema maambukizi...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku wapiga debe kwenye stendi ya Dodoma. Ataka wafanyabiashara wasisumbuliwe

    RAIS Dk. John Magufuli, ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhusu stendi kuu ya mabasi iliyopo jijini humo ikiwemo kuhakikisha wajasiriamali wadogo, waendesha bodaboda na daladala kutosumbuliwa. Rais Dk. John Magufuli. Magufuli ametoa maagizo hayo leo kwa njia ya...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea CHADEMA nafasi ya Rais, Lissu ana nafasi kubwa ya kutoa ushindani mkali

    Heshima kwenu wanajamvi, Leo nimeona ni vyema na haki tukawajadili wagombea nafasi ya Rais wa JMT kutokea chama cha CDM. Nadhani nianze na Mheshimiwa Lissu si kwa bahati mbaya la hasha, nimeanza na Lissu kwasababu ni mgombea pekee mwenye mvuto kwa wananchi lakini pia ni mgombea mwenye uwezo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT lakini ndiyo mtu pekee " makini" katika orodha ya CHADEMA

    Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo. Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo. Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee...
  11. M

    JamiiForums Tanzania BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

    Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo. Lakini suala hilo la...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

    Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba binafsi akikatiza mitaa ya Dodoma akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama na urais Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato au hata Kisiwandui katiba inamtambua kama Rais...
  13. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Makamu Wa Rais Kuongoza Ujumbe Wa Tanzania Katika Sherehe Za Kuapishwa Kwa Rais Mteule Wa Burundi June 18,2020

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenda Nchini Burundi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye hapo kesho June 18,2020. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China apinga kulifanya suala la COVID-19 kuwa la kisiasa na kibaguzi

    Rais Xi Jinping wa China leo amesema, ni lazima kudumisha nia ya kusimamia mfumo wa pande nyingi. Na katika janga hili la COVID-19, mshikamano na ushirikiano ni silaha yenye nguvu zaidi. Ameongeza kuwa China itashirikiana na Afrika kudumisha mfumo wa uongozi wa dunia ambao kiini chake ni Umoja...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli akivunja sheria za barabarani wakati akitokea ofisi za CCM alipoenda kuchukua fomu ya urais

    Hatimaye kampeni zimeanza, tumeanza kujishusha kwa wananchi. Haya maving'ora kwa sasa yatatupunguzia kura. Rais Magufuli leo anaonekana Dodoma akiwa na gari binafsi huku akitanua bila wasiwasi wowote.
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Trump atoa agizo la kuchukuliwa hatua dhidi ya ukatili unaofanywa na Polisi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesaini amri ya rais kuhusu utendaji wa polisi, na kutoa agizo la kuchukua hatua dhidi ya ukatili wa polisi na ubaguzi wa rangi. Hatua hiyo imekuja wiki tatu baada ya kifo cha George Floyd, raia mweusi wa Marekani wenye umri wa miaka 46, ambacho kimesababisha...
  20. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

    Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+. Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Back
Top Bottom