rais

  1. B

    GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  2. Roving Journalist

    GE2020 Ilani ya CHAUMMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) ILANI YA UCHAGUZI (MANIFESTO) JULY 2020 IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM JULY .2020 YALIYOMO 1.0 Utangulizi 1 2.0 HALI YA NCHI 2020. 3 3.0 Ajenda zetu katika uchaguzi wa...
  3. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba: Katika kipindi cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, tunahitaji kubadilisha hali hiyo

    "Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania RAIS MAKINI SERIKALI MAKINI
  4. C

    Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  5. Infantry Soldier

    Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  6. FrankLutazamba

    Ninamuomba Rais Magufuli anidhamini niingie studio kumrekodia wimbo huu mzuri chini kwa ajili yake

    Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
  7. The Palm Tree

    VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  8. Analogia Malenga

    Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

    Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti...
  9. Roving Journalist

    GE2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

    Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
  10. Analogia Malenga

    GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  11. Yoyo Zhou

    Uongozi wa Rais Xi ulivyopambana na kufanikiwa kumshinda adui Covid-19

    Mwaka 2020 hautasahaulika katika kumbukumbu za watu kwani ni mwaka ambao umebadilisha historia ya binadamu. Watu wamelazimika kuingia vitani kupambana na adui ambaye haonekani wala hashikiki. Adui ambaye kasi yake ya kusambaa ni kubwa kuliko ilivyozoeleka. Adui Covid-19 amebadilisha utaratibu...
  12. Return Of Undertaker

    GE2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa. Sasa majibu yake haya hapa: 1. Hajatoa ajira...
  13. J

    Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  14. Miss Zomboko

    Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  15. GENTAMYCINE

    Rais Dkt. Magufuli kama utafanikiwa kurejea tena Madarakani 2020 - 2025, ufanye Mtandao huu wa JamiiForums kama ndiyo Mshauri wako Mkuu

    Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
  16. Nyani Ngabu

    1995: Siku Jakaya Kikwete alivyomuinua kitini Rais mstaafu Nyerere

    Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM. Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu. Jionee mwenyewe jinsi mambo...
  17. R

    GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  18. Leslie Mbena

    Asilimia 100 ya tabaka lililojichokeaga awamu zote, ambalo awamu ya tano linaogopwa na wenye pesa, watampa kura zote Rais John Pombe Magufuli

    ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
  19. Civilian Coin

    Mahudhurio ya watoto kwenye mkutano wa Rais Magufuli Jijini Mwanza maana yake nini?

  20. chinchilla coat

    GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
Back
Top Bottom