"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake.
Kwa uchache tujikumbushe maajabu ambayo yameshatokea na hatajawai kuyashuhudia.
1. Watu Takribani 400...
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .
Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais...
~Na David KAFULILA.
email: davidkafulila0@gmail.com
02 Septemba 2020.
Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Siku ya 9 leo tangu kampeni zianze, hali ya upepo nchini kwa ujumla tayari inatoa picha kuhusiana na uchaguzi mkuu ujao.
Magufuli alidhani anakubalika kwa 100%. Alidhani wapinzani hawatakuwa na hoja na eti labda wangekuwa wanamfanyia yeye kampeni tu.
La haula...
Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao kwa pamoja katika Uchaguzi huu Mkuu ujao wa tarehe 28 Mwezi Oktoba tukikupa tena 'ridhaa' zetu na...
Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua.
"Tabora hakuna Bodaboda ambaye hajanyang'anywa hela na Polisi, naambiwa ukipark pikipiki 500...
Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani.
Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja...
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ndugu zangu watanzania kama mnavyojuwa Ile taasisi nyeti ya Rais ina mambo mengi Sana ila Mimi Leo ninakuja kwenu kuwahusia Kuwa ukiacha Mh Rais wapo viongoz zaidi ya kumi Ambao hupaswi Acha waombea hawa no watu muhim Sana maana huwa hawastaafu ila wanakuwa kazini wakati wote wa maisha Yao...
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu.
Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.
Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo mwaka 1989.
Akiwa ni rais wa zamani wa jamhuri, Bashir alionekana katika hali nzuri wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.