rais

  1. VUTA-NKUVUTE

    GE2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

    Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na kufuta ada za shule za msingi hadi kidato cha nne. Hana jipya katika sera zake. Hana mipango mipya...
  2. Pascal Mayalla

    Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  3. Replica

    GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  4. J

    GE2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

    Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais. Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda...
  5. Analogia Malenga

    Rais wa Guinea akubali uteuzi wa kugombea muhula wa tatu

    Rais wa Guinea, Alpha Condé,amekubali hatua ya chama chake kumteua kugombae muhula tata wa tatu madarakani. Bw. Condé, ambaye mwanazo alichaguliwa 2010,alishinikiza marekebisho ya katiba kupitia kura ya maoni iliyomwezesha kugombea muhula wa tatu. Kura hiyo ya maoni ilisusiwa na upinzani...
  6. GENTAMYCINE

    Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

    Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
  7. C

    GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  8. G Sam

    Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  9. M

    Barua Maalum kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr Shein: Usikubali damu za wananchi wako wa Zanzibar zimwagwe sababu ya dhulma

    Mheshimiwa Dkt. Shein: Nakusalimia kwa salamu ya Amani, Amani ya ALLAH iwe nawe Barua hii ni kutoka kwa mwananchi na naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma. Usikubali damu ya Wazanzibari imwagike chini ya uangalizi wako. Unafahamu vizuri historia ya nchi yako, harakati za watu...
  10. L

    GE2020 CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati

    CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu. Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais...
  11. K

    GE2020 Kwa kilichotokea kwenye ufunguzi wa kampeni za CHADEMA, bado naamini Rais ni Magufuli tu

    Kampeni zikiwa zimeanza rasmi na baadhi ya vyama kufungua kampeni zao kwa mbwembwe na kwa kujiamini bila kujua walichofanya ni sawa na sifuri kwetu wapiga kura. Pengine, walitarajia ufunguzi wa kishindo wenye kila hamasa za kuamsha hisia, matokeo yake ni aibu kubwa sana. Mwitikio hasi...
  12. Miss Zomboko

    Mali: Wanajeshi wamuachia huru aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Mwanaye aripotiwa kukimbilia ukimbizini nje ya nchi

    Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa sasa yuko nyumbani kwake", CNSP imetangaza kwenye mtandao wa Facebook. Duru za kuaminika zimebaini...
  13. Basi Nenda

    Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  14. BAVICHA Taifa

    GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  15. Konseli Mkuu Andrew

    Hivi kuna Sheria inayolinda miradi iliyoanzishwa na Rais John Magufuli?

    Salaam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli? Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    GE2020 Tusipoangalia Rais atazungukwa na wabaguzi wa Dini na Wakabila

    RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI. Na, Robert Heriel Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu. Tunachagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano. Tunapaswa tuchague viongozi wasio na dalili za ubaguzi wa...
  17. beth

    GE2020 Wagombea Urais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ADC wateuliwa kugombea na NEC

    UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
  18. R

    Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

    .
  19. J

    GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Back
Top Bottom