rais

  1. Q

    JamiiForums Tanzania CCM mwacheni Rais afanye kazi kwa uhuru, msimshinikize

    Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza. Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa Tanzania Bora Naomba zingatia haya!

    Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee! Amani iwe nawe Mama! Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka. Haya nimeyaona kwenye teuzi zako mbalimbali kuanzia Bandari, Katibu Mkuu Kiongozi na sasa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

    Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters. Source...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fanya uapisho Alhamis ya April 8, jipe muda wa kupitia CV za wateule wako.

    Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule. Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita. Rais wetu usiwe na haraka...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Zaidi soma: 1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka 2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  7. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Ya Mpango ni Ishara Mungu anakuonesha Mh. Rais

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dr. Mpango awataka TRA wasiwababaishe Wafanyabiashara, atoa salamu za Rais Samia kwa Kanisa!

    Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga. Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara. Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mtihani mkubwa kwa Rais Samia ni kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma. Je, ataweza?

    Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma. Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni Utamaduni wa CCM Rais wa JMT kuhudumu kwa mihula miwili, hilo halina mjadala!

    Kwa mujibu wa utamaduni wa CCM unaoenda sambamba na katiba ya JMT, Rais atahudumu madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitana halafu Mitano tena. Hili halina majadiliano kwa sababu mjadala wake ulishafungwa mwaka 2000 na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM mzee John Samwel Cyigwemisi Malecela...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Clouds Media muombeni msamaha Rais Samia, mmemkosea sana

    Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo? Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
  12. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

    Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030. ----- Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo...
  13. Chineduchi

    JamiiForums Tanzania Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto. Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa watumishi waliokamilisha uhamisho na kusubiri vibali kutoka tamisemi, maana kuna màmbo ambayo sio...
  14. Mtini

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

    Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

    Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
  16. Pununkila

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba 45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

    Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo. Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa. Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

    Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila zama na kitabu chake! Maendeleo hayana vyama.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa Msigwa wa Ikulu kuangalia upya utaratibu wake wa kuongoza hafla za Rais

    Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia. Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila...
Back
Top Bottom