Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Tukubali kwamba wapo watu katika Hali yakibinadamu wamedhalilika kutokana na namna walivyohudumu awamu ya tano na wanavyopaswa kuhudumu awamu ya sita. Watu hawa walijitwalia utukufu na heshima bandia kwa kinga iliyowekwa na awamu iliyopita ila sasa hivi kinga na heshima vimeondoka.
Kwa muktadha...
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Rais Samia...
Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.
Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana.
Katika hiyo...
1. KUFANYA KAZI KWA BIDII
Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama Rais Samia.
2. TUPENDE SANA KULIPA KODI
Watanzania tusijidanganye na tusidanganywe hakuna nchi...
Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya!
Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa.
Hafokei
Haropoki
Yupo very composed
Hana papara
Anafahamu shida za watanzania ki uhalisia
Mpole kama...
Poleni Watanzania.
Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
6 April 2021
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama inapatikana.
Pia akaongeza Tanzania itaanza kutoa takwimu za walioambukizwa na waliopona Covid -19...
Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi.
Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa...
Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtu aliyejipambanua kwa nia ya dhati akihimiza kwa vitendo juu ya miradi ya kimkakati. HAKUNA...
Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa...
Hii ni hotuba kama ya nne ya Rais Samia, na mpaka sasa nilichokichunguza ni kwamba, huyu ni Rais ambaye anajipambanua kuwa na itikadi za kiuchumi za 'Free markets' ambazo ndizo haswa zinazofanya kazi kwenye ulimwengu wa sasa. Kote huko duniani unapoona uchumi umeendelea mpaka huko China na...
Watanzania hatuna utamaduni wa kufundisha vijana wetu jinsi ya kujieleza na kuongea mbele ya watu. Hii inasababisha sana hata wataalamu wetu wengi kuonekana kama vile hawana utaalamu. Wenzetu kuanzia mtoto akiwa mdogo shuleni wanafundishwa jinsi ya kuwasiliana na hii inasababisha wanaweza...
“Kuhusu suala la mabando kulizuka rabsharabsha juzi hapa, Wananchi wakapiga kelele mkalituliza, kalifanyieni kazi lisizuke namna ile mpo mnaangalia hawa Watu wanakuja tu na mambo yao mpaka Wananchi washtuke na nyie ndio mnashtuka, kakaeni nao” – Rais Samia Suluhu Hassan.
Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.
CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa...
HOTUBA YA SAA 1 NA DAKIKA 16 YA MHE RAIS NI TIBA YA MSONGO WA MAWAZO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo hotuba ya Mh Rais inaendelea kujenga matumaini mapya katika Taifa letu. Ni hotuba nzito ambayo inajiegemeza kwenye misingi ya utawala bora na yenye kuleta mawanda mapya ya fikira juu ya nguvu...
Watanzania na walimwengu wamemsikiliza vema Rais Mama Samia hii leo. Amezungumza mengi yenye tija kwa nchi na wananchi wa Tanzania. Mwanzo wake ni mzuri. Hatuna budi kumuunga mkono.
Pamoja na utamu wote wa hotuba, naomba kwa taadhima kubwa nimpe hadhari kwenye msimamo wake wa kuchimba madini...
To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.