rais

  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu nyingine kubwa kwa taifa letu - Naiona CCM kuendelea kuwa juu miaka100

    Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao. CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya rais Samia, hakika inatibu msongo wa mawazo

    HOTUBA YA SAA 1 NA DAKIKA 16 YA MHE RAIS NI TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo hotuba ya Mh Rais inaendelea kujenga matumaini mapya katika Taifa letu. Ni hotuba nzito ambayo inajiegemeza kwenye misingi ya utawala bora na yenye kuleta mawanda mapya ya fikira juu ya nguvu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia Suluhu, tusiguse Hifadhi

    Watanzania na walimwengu wamemsikiliza vema Rais Mama Samia hii leo. Amezungumza mengi yenye tija kwa nchi na wananchi wa Tanzania. Mwanzo wake ni mzuri. Hatuna budi kumuunga mkono. Pamoja na utamu wote wa hotuba, naomba kwa taadhima kubwa nimpe hadhari kwenye msimamo wake wa kuchimba madini...
  4. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 6 ndio nimeanza kusikiliza hotuba ya Rais tena

    To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta...
  5. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
  6. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

    Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'. Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka. Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  8. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

    Rais Samia amehawakikishia watanzania kuwa miradi yote aliyoacha Hayati Rais Magufuli lazima itekelezwe na kumalizwa kwa sababu ni urithi wa watanzania na tukiitelekeza tutaambulia laana kutoka kwa Mungu na kutoka kwa aliyeanzisha hiyo miradi. Rais Samia - Rais Dkt. John Magufuli ametuachia...
  9. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja ya Rais Mama Samia, ninadhani hoja ya Dkt. Kigwangalla tulitumia rungu kumdhibiti

    KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umuhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania "Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

    Wanajukwaa habari zenu, Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali. Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri...
  11. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  12. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais mama Samia Suluhu: Wizara ya kilimo hamjali wakulima wanateseka wanalima soko hakuna nendeni watafutieni masoko ya nje

    "Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi. Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili. Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu Kuwaingiza akina...
  14. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

    Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu. Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

    Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
  17. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Ukarimu wa Makamu wa Rais

  18. balimar

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shukia: Elimu Bora ni zao la Walimu bora

    Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana 1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
Back
Top Bottom