rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

    Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila zama na kitabu chake! Maendeleo hayana vyama.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa Msigwa wa Ikulu kuangalia upya utaratibu wake wa kuongoza hafla za Rais

    Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia. Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila...
  3. Double Elephants

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar

    Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021. Nini maoni yako. #MitanoTena
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

    Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

    Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Intaneti: Asante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu

    VIFURUSHI; Ahsante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu Nani kama Mama? Hakuna. Hakika hakuna kama mama. Kilio chetu cha kutwa moja tu kimemfanya mama atoe maagizo fasta kwa TCRA kushughulikia kupanda kwa gharama za vifurushi. Awali, changamoto kama hizo zilikua zikishughulikiwa baada ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Raia wa Liberia waukataa Upuuzi wa Rais wao Weah ambao ulitakwa pia Kuigwa na Wanasiasa Wengine wa Afrika

    Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office Chanzo: Bloomberg Africa Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

    Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

    Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!. Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu juu ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI

    BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassani, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nitoe ombi langu kwako juu ya Katibu Mkuu wa...
  12. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Habari JF, Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza Itakumbukwa, awamu iliyopita...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  14. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

    Habari 👋 Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari. Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

    ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni vyema wawe na msimamo tu kwamba Kama walivyoshinda Zanzibar ndivyo watakavyoshiriki uchaguzi huko...
  17. B

    JamiiForums Tanzania TCRA; Rais anatumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na wananchi. Kuendelea kuzuia mitandao ni kimhujumu yeye na sisi wananchi

    Mhe. Rais anatumia akaunti zake za mitandao ikiwemo Twitter kuweka video na maelekezo mbalimbali kwa ajili ya wananchi hasa wale ambao hawakupata muda kumsilikiza live. Ili tupate taarifa hizi lazima mitandao iwe inafanya kazi la sivyo Kama mitandao itaendelea kuzimwa Mhe. Rais hatoweza kutimuza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais usije kutushukuru majimboni, piga kazi tunatambua una muda mchache

    Naomba kumshauri Mhe. Rais aache utamaduni wakujiwekea ratiba ya kutembelea majibo kuwashukuru Wananchi maana muda ni mchache na Miradi ni mingi. Akitulia jikoni akapika sisi huku tungependa kumwona akipakua ( akizindua Miradi) msosi ambao umekwiva na wenye tija. Akumbuke anayo deni...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

    Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao. "Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na...
Back
Top Bottom