Rais Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?
Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.
Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole...
Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
--+
Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...
Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana.
Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19
Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais...
Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana.
CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma.
Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021.
====
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
THE MAN WHO USED TO URINATE ON MY HEAD WHEN I WAS IN THE PRISON
Nelson Mandela: "After I became president, I asked some members of my close protection to stroll with me in the city and have lunch at one of its restaurants. We sat in one of the downtown restaurants and all of us asked for some...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
Why Nations Fail: A Summary
Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson.
Overall Summary…
Developed countries are wealthy because of ‘inclusive economic institutions’ – Basically a combination of the state and the free market in which...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa hapa na pale kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza hayo leo Bungeni Dodoma
Amesema, "Anaifahamu kazi yake, alikuwepo kwenye kupanga mipango na yeye ni...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.
Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
Mh. Rais Samia.
Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe.
Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili.
Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.