rais

  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

    Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai hadi Leo. Tundu Lisu amepata maumivu makubwa sana ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiuchumi...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini atangaza bunge jipya

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amefungua njia kwa wabunge wapya na kuunda bunge lililovunjwa siku ya Jumamosi. Majina ya wabunge walioteuliwa yalitangazwa kwenye chombo cha habari cha taifa hilo, Shirika la Utangazaji la Sudani Kusini, Jumatatu usiku. Bunge la sasa linahusisha wabunge kutoka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali. Kazi Iendelee!
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir avunja Bunge

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo. Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

    Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
  13. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutane na wakosoaji wote wa CCM na Serikali yake

    Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam. Kwa uungwana huo aliouonyesha kujali makundi mbalimbali na kupata mawazo, kero, ushauri ninatabiri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
  15. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

    Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli. Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza vita dhidi ya vijana.

    Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera. Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba. Ile hotuba ya Jana,Mimi ningekuwa kijana ningekuwa na wasi wasi. Bado tu kusema kwamba atawafutia mashamba wakalime...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
Back
Top Bottom