Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni.
Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.
Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.
Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
Rais Mohamed Abdullahi Farmajo ametoa rai ya kufanyika Uchaguzi baada ya kitendo cha Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani kusababisha sintofahamu Nchini humo.
Kumekuwa na shinikizo la Jumuiya za Kimataifa ambazo zilitishia vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais kuongezewa muda. Wananchi...
CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO
Na Philipo Mwakibinga.
0758910403.
Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
Wakuu.
Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa.
Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu hajapewa uwaziri wala unaibu waziri.
Kwa mfano Dkt. Bashiru Ally
Siku ambayo CCM watakubaliana kutenganisha nafasi ya Rais wa JMT na mwenyekiti wa CCM basi watakuwa wanajichimbia kaburi na watadumbukia mara baada ya kufunga mkutano kitakachobaki ni wananchi kufukia tu kwa mchanga.
Nyerere alijaribu hii wakati Rais Mwinyi alipoingia madarakani mwaka 1985 na...
Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe.
Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
A. UTANGULIZI
Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi.
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki.
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo.
-----
“Nikipata nafasi...
Katika hotuba yote ya rais Samia mbele ya bunge, jambo nililoliona jipya na muhimu sana, ni pale alipoahidi kuzidisha ari ya kuchimba mabwawa ya kuzuia maji Tanzania. Yaelekea serikali kadhaa zilizopita hazikujua umuhimu wa jambo hili. Kwa wale walioinukia katika miaka ya 50, 60 na 70 bila...
Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali.
Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania.
Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
Wadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.
Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa...
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa?
Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?
Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano.
Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi.
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi.
Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM.
Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti.
Ramadhan kareem!
Eti watendaji wengine wakawa wanamtumia tu Rais badala ya wananchi wakawa wanapita huku na kule kuita waandishi wa habari wenye camera ili tu mradi Rais awaone wanafanya kazi bila kujali utendaji wao saa ingine ulikuwa unawaumiza wananchi kweli kweli, Sehemi ingine wananchi wamebaki maskini kisa...
Habari wanaJF,
Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.