Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini

Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake

Kiwanda.jpg

UPDATES:

RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa

Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini ambapo Polisi waliliripoti kupungua kwa mapato kutokana na kupungua kwa makosa

Rais Samia amewataka wajikite zaidi kwenye kuelimisha Umma ili kupunguza makosa na sio wao kutegemea kukusanya fedha kutoka kwenye makosa mbalimbali

RAIS SAMIA: UDHIBITI WA VITENDO VYA UJAMBAZI UTATUMIKA KUTENGUA NA KUTEUA MAKAMANDA WA POLISI

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa vigezo vitakavyotumika kuteua au kutengua Makamanda wa Mikoa ni udhibiti wa vitendo vya ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha

Akizungumza kutokea Kurasini, Dar amesema "IGP umeniletea majina kadhaa kwa ajili ya zile Kamisheni mbili, hiki kitakuwa kimoja kati ya vigezo nitakavyotumia"

Kuhusu matukio ya udhalilishaji wa kijinsia, Rais Samia ametoa wito kwa Jamii kuweka mkazo zaidi kwenye suala la malezi kwani vitendo hivyo hutokea ndani ya Familia

UTAPELI MITANDAONI: RAIS SAMIA AHOJI USAJILI KWA KUTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaoni bado vimeendelea kushamiri

Ameeleza, "Najiuliza ule usajili ulikuwa kiini macho au ni nini? Kwasababu kama tumesajili vile kila namba inajulikana, na kama kuna zisizojulikana zinatolewa na Shirika gani la simu?"

Amelitaka Jeshi la Polisi kusimamia suala hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtandao wa Serikali, TCRA na Taasisi nyingine za fedha za Umma na Binafsi zikiwemo Benki na Kampuni za Simu
 
Picha tafadhali!
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini

Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake
 
Dar es Salaam, Tanzania
84 minutes ago
[18-May-2021]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anafungua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini jijini Dar es Salaam.

Source : Ikulu Tanzania
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi, wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje!

Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!

Mngefaulu kudhibiti corona iweje tena imeondoka na vigogo wawili wakubwa wa nchi?
 
Wakati Mpango anateuliwa kuwa Makamu wa Rais, ni kama alitaka kupandisha mabega na kuingiza mfumo wa kiafrika wa "Mwanaume Ndie Kichwa cha Familia" hapa familia ikiwa ni Ikulu!

Kwa speed na matendo haya SSH ya kukaba kila mahali, ni kama anajaribu kumuonesha Phillip Mpango nafasi yake ni ipi hasa... manake inaelekea Mpango alidhani hata zile routes kama za KE na UG, huenda angezipiga yeye!!
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
Huwezi kujilinganisha na America. Kike population ni kubwa Sana Sana zaidi ya Tanzania.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini

Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake

UPDATES:

RAIS SAMIA: UDHIBITI WA VITENDO VYA UJAMBAZI UTATUMIKA KUTENGUA NA KUTEUA MAKAMANDA WA POLISI

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa vigezo vitakavyotumika kuteua au kutengua Makamanda wa Mikoa ni udhibiti wa vitendo vya ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha

Akizungumza kutokea Kurasini, Dar amesema "IGP umeniletea majina kadhaa kwa ajili ya zile Kamisheni mbili, hiki kitakuwa kimoja kati ya vigezo nitakavyotumia"

Kuhusu matukio ya udhalilishaji wa kijinsia, Rais Samia ametoa wito kwa Jamii kuweka mkazo zaidi kwenye suala la malezi kwani vitendo hivyo hutokea ndani ya Familia
Hii kazi si meko alishaifanya..?

Tena kabla hajafa meko.
Mama kasahau au ameamua kurudia au kazi zimeisha
 
Sisi tunashangilia Corona kutuondolea kubwa la maadui
 
Hii kazi si meko alishaifanya..?

Tena kabla hajafa meko.
Mama kasahau au ameamua kurudia au kazi zimeisha
Eti aliweka jiwe la msingi may mwaka 2020 nadhani halafu hii kimekamilika anazindua huyu😂😂
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
Wewe Mataga acha kulia lia hapa! Zama za magufuli zilishapita. Tii mamlaka. Corona bado ipo ipo sana kwenye jamii yetu. Ukiendeleza ule ukaidi wa mtukufu wako, utakwenda na maji.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini

Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake

UPDATES:

RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa

Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini ambapo Polisi waliliripoti kupungua kwa mapato kutokana na kupungua kwa makosa

Rais Samia amewataka wajikite zaidi kwenye kuelimisha Umma ili kupunguza makosa na sio wao kutegemea kukusanya fedha kutoka kwenye makosa mbalimbali

RAIS SAMIA: UDHIBITI WA VITENDO VYA UJAMBAZI UTATUMIKA KUTENGUA NA KUTEUA MAKAMANDA WA POLISI

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa vigezo vitakavyotumika kuteua au kutengua Makamanda wa Mikoa ni udhibiti wa vitendo vya ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha

Akizungumza kutokea Kurasini, Dar amesema "IGP umeniletea majina kadhaa kwa ajili ya zile Kamisheni mbili, hiki kitakuwa kimoja kati ya vigezo nitakavyotumia"

Kuhusu matukio ya udhalilishaji wa kijinsia, Rais Samia ametoa wito kwa Jamii kuweka mkazo zaidi kwenye suala la malezi kwani vitendo hivyo hutokea ndani ya Familia

UTAPELI MITANDAONI: RAIS SAMIA AHOJI USAJILI KWA KUTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaoni bado vimeendelea kushamiri

Ameeleza, "Najiuliza ule usajili ulikuwa kiini macho au ni nini? Kwasababu kama tumesajili vile kila namba inajulikana, na kama kuna zisizojulikana zinatolewa na Shirika gani la simu?"

Amelitaka Jeshi la Polisi kusimamia suala hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtandao wa Serikali, TCRA na Taasisi nyingine za fedha za Umma na Binafsi zikiwemo Benki na Kampuni za Simu
Nimefurahishwa sana na hicho kipengele cha kuwaambia ukweli hao policcm. Wamejigeuza TRA kwa sasa! Yaani ni mwendo wa kuvizia tu wenye magari, ili kuwaandikia faini au kutoa rushwa!

Makosa mengine ni ya kumuelemisha tu dereva! Ila utashangaa unaandikiwa faini au unashinikizwa kutoa mlungula. Jambo hili limechangia sana kujenga chuki kati ya wamiliki wa magari na askari wa usalama barabarani.
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
Magufuli alivimbishia kichwa Corona, hatimae ikaondokanae
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom