Kipanya ni shabiki wa Yanga lakini ametumika kumhujumu Rais wa Yanga

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
3,245
7,115
Salam wana jamvi.

Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari lake. Wadau waliowengi walisikitishwa na maongezi ya maafisa wale na kukemea kwa nguvu kitendo kile kilichoitwa kinawarudisha nyuma wabunifu badala ya kuwasaidia wafikie malengo yako.

Leo imesikika sauti ya siri ya jopo la PB ya Clouds FM ikimpanga mwanamichezo Bw. Fei Toto kuhusu maneno ya kuongea ili kuichafua Yanga na viongozi wake. Cha kushashangaza wale walioguswa na sauti ya siri ya kikao cha wale maafisa wa serikali siwasikii wakilaani kitendo cha Bw. Kipanya kushiriki kitendo kibaya cha kuihujumu Yanga na viongozi wake.

Kuna msemo unaosema 'usimtendee mwenzako kile usichopenda kutendewa'.

Binafsi mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba ila kitendo kilichofanywa na jopo la PB kwa kushirikiana na Fei Toto leo sio cha kiungwana na hakitofautiani na kile kilichofanywa na wale maafisa wa serikali kuhusu ubunifu wa Kipanya.
 
Mbona akina kitenge ni mashabiki wa siku nyingi wa mikia, ila best Yao GSM alipoichukua Yanga na wao wanazuga wapo huko?
 
Hoja iko wapi hapo zaidi ya kutupigia kelele tu. Utafanyiwaje mahojiano sensitive bila pre-arrangement
Pre-arrangement inamaanisha kuwekewa maneno mdomoni au mwongozo wa mpangilio wa points? Hiyo pre-arrangement inaondoa uhalisia na kuweka maneno mapya? Hizi digrii si Bora mfungie maandazi? Mnacheka Honoraria za kina Babu Tale kumbe na nyie mmeficha Honoraria kwenye makabati?
 
Pre-arrangement inamaanisha kuwekewa maneno mdomoni au mwongozo wa mpangilio wa points? Hiyo pre-arrangement inaondoa uhalisia na kuweka maneno mapya? Hizi digrii si Bora mfungie maandazi? Mnacheka Honoraria za kina Babu Tale kumbe na nyie mmeficha Honoraria kwenye makabati?
Shabiki wa yangaa ktk ubora wakooo, wapiiiii neutral shabikiiii??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom