rais

  1. JamiiForums Tanzania Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

    GTs, Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake. Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

    Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kamishna wa PPP, David Kafulila asifiwa na Rais Samia kuhusu ripoti yake ya PPP

    Salaam Wakuu, Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Davidi Kafulila ambaye ni Kamishina wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC). Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua...
  6. JamiiForums Tanzania Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

    Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia. Ipi tafsiri yako kwa tendo hili.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

    Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania CCM tambueni hii nchi sio mali ya yenu na kuna vizazi baada yenu

    Wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza na kumtukana. Mh kagame akaenda mbali zaidi kwa kusema kwa nchi km tanzania BANDARI ya dar pekee bila...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

    Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana. Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, mbona umewafuta ma DED wenye Hati Safi baadhi ya Halmashauri huku ukiwarejesha Ma DED uliowatumbua huko nyuma kwa uozo wao?

    Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?. Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini?? Mbona wanakugombanisha na watu?. Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi. Nikajua...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

    Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu. Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

    Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana. Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

    Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu. Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake. Kipi kimemkuta Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa. Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kuanza, fidia zinalipwa

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…