rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia asonga mbele na uwekezaji, sasa anayafuta mashirika yote yanayoendeshwa kihasara

    Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria. Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo. Jioneeni wenyewe: Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awahimiza Viongozi wa Afrika kuacha kutumia dola katika biashara zao

    Right Nyerere na Gadafi wangefufuka Leo wangempa nishani William Ruto kwa kuendeleza jitihada za kuikomboa Africa. William Ruto ameendelea na speech zake za kuhimiza viongozi wenzake kuacha kutumia USD katika biashara za wao kwa wao na kuhimiza kutumia yu pale wanapofanya trade na USA. Msikilize...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

    Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo. “Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

    Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee. Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

    Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto. Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo. Kwa mshangao, leo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko ya Viongozi Serikalini yataendelea mpaka mstari unyooke

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Dk. Mwinyi Aelekea Berlin, Ujerumani

    Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi anaelekea Ujerumani kuhudhuria kwenye Ufunguzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalumu ~ Special Olympics World Games yatakayofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 25 Juni , 2023.
  11. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwateua Bulembo, Lukuvi ni maandalizi ya 2025?

    Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya kisiasa", hasa uchaguzi Mkuu wa 2025 Vigogo walioteuliwa juzi ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa; (ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
  18. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia akikagua meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) katika Bandari ya Mkoa wa Mwanza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV...
  20. JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…