Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,816
4,566
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini.

Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi) pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu).

“Wanaoiba saruji na vifaa vingine vya ujenzi waache mara moja kwa sababu miradi hii ni yetu sote, kukamilika kwao ni faida kwetu sote,” amesema Rais Samia wakati akihitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani humo.

Onyo hilo limefuatia baada ya wizi wa mara kwa mara kuripotiwa katika miradi mikubwa ikiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na daraja la JPM ambapo matukio ya wizi wa saruji, mafuta na vifaa vingine vya ujenzi yamefanyika.

Aidha, akisoma taarifa ya hali ya ujenzi wa daraja la JPM, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mohamed Besta, amesema utekelezaji wa mradi huo tayari umefikia asilimia 75, licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali ikiwemo UVIKO-19, kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Victoria, na tofauti za hali ya kijiolojia ambayo ilichelewesha utekelezaji wake kwa asilimia 14.
 
Tukizingatia hali inavyoenda ya undeshwaji wa awamu yake...Kweli pasipo haya ameipaza sauti nakudiriki kuzungumza hayo...
 
Wezi walioko kwenye report ya CAG wako wapi?

Naona kama anatania na hilo onyo lake.. haha.

Mwambie wananchi hawataki wezi wa Bandari zetu.
 
Niko pamoja na wezi 😀 😀 😀 wizi uendelee!!!
Mtu kuiba mfuko wa simenti nongwa ila alioiba bil. 300 anapewa na VX-R mpya ya kutembelea.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini.

Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi) pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu).

“Wanaoiba saruji na vifaa vingine vya ujenzi waache mara moja kwa sababu miradi hii ni yetu sote, kukamilika kwao ni faida kwetu sote,” amesema Rais Samia wakati akihitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani humo.

Onyo hilo limefuatia baada ya wizi wa mara kwa mara kuripotiwa katika miradi mikubwa ikiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na daraja la JPM ambapo matukio ya wizi wa saruji, mafuta na vifaa vingine vya ujenzi yamefanyika.

Aidha, akisoma taarifa ya hali ya ujenzi wa daraja la JPM, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mohamed Besta, amesema utekelezaji wa mradi huo tayari umefikia asilimia 75, licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali ikiwemo UVIKO-19, kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Victoria, na tofauti za hali ya kijiolojia ambayo ilichelewesha utekelezaji wake kwa asilimia 14.
Mh 🤔 onyo!! Acha tukakate zetu majani ya ng'ombe!!
 
Attachments

  • IMG_20230129_160134.jpg
    IMG_20230129_160134.jpg
    89.4 KB · Views: 5
Wanaiba tu kujenga vi room 2 na sebule kwa ajili ya kulea watoto wao. Bora kuliko waizi wa CAG wanaoachwa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini.

Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi) pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu).

“Wanaoiba saruji na vifaa vingine vya ujenzi waache mara moja kwa sababu miradi hii ni yetu sote, kukamilika kwao ni faida kwetu sote,” amesema Rais Samia wakati akihitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani humo.

Onyo hilo limefuatia baada ya wizi wa mara kwa mara kuripotiwa katika miradi mikubwa ikiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na daraja la JPM ambapo matukio ya wizi wa saruji, mafuta na vifaa vingine vya ujenzi yamefanyika.

Aidha, akisoma taarifa ya hali ya ujenzi wa daraja la JPM, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mohamed Besta, amesema utekelezaji wa mradi huo tayari umefikia asilimia 75, licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali ikiwemo UVIKO-19, kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Victoria, na tofauti za hali ya kijiolojia ambayo ilichelewesha utekelezaji wake kwa asilimia 14.
Wezi wanaturudisha nyuma sana
 
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini.

Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi) pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu).
Walishazoea maonyo yamekuwa sehemu ya maisha yao
 
Kuna watu wanaona sawa tu eti na Wizi uendelee

Tumezizidi nchi 23 tu duniani yaani sisi ni wa 24 kwa kwa umasikini
Hatuweza kufika popote zaidi ya kuporomoka kama hatutaacha wizi na udanganyifu katika maslahi ya umma na hata kwa wafanyabiashara wa kawaida

Watu mnawaza wizi tu kila mkiamka
 
Mkuu,
Shida sio tamko/ onyo shida ni mtoa onyo

Hapa namwona huyu mama ikulu pamekuwa pachungu kila ripoti anayopewa na vibaraka aliowatuma kusoma upepo mtaani wanamwambia huko nje hakushikiki
Ameamua kukimbilia Mwanza kujifariji na ukaguzi wa mradi.
Wananchi msimamo wetu ni mmoja hatuna imani naye tena

TUNATAKA AJIUZULU au TUTAMLAZIMISHA!!
 
Mkuu,
Shida sio tamko/ onyo shida ni mtoa onyo

Hapa namwona huyu mama ikulu pamekuwa pachungu kila ripoti anayopewa na vibaraka aliowatuma kusoma upepo mtaani wanamwambia huko nje hakushikiki
Ameamua kukimbilia Mwanza kujifariki na ukaguzi wa mradi.
Wananchi msimamo wetu ni mmoja hatuna imani naye tena

TUNATAKA AJIUZULU au TUTAMLAZIMISHA!!
Nimekuelewa Mkuu
 
Back
Top Bottom