rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siku moja nitamwambia Rais...

    Siku moja nitamwambia Rais. Anaandika Mwl. Makungu m.s 0743781910 Anayecheka kupita kiasi na anayelia kupita kiasi wote hutoa machozi... Kwahiyo uamuzi ni wake, " Anazika au Anasafirisha" .. Mhe. Rais nakusalimia kwa jina imani, "Philosophy (Love of Wisdom). Natamani siku nikikuona...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi kamuingiza chaka na Rais Samia?

    Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo. Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mratibu PEPFAR, mtendaji mkuu global fund, mwakilishi wa Marekani (diplomasia)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania SWALI: Endapo Rais Samia ataelewa kilio cha wananchi, atarudisha tena Bungeni?

    Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari. Hapa TEC mambo ni moto sana. Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC. Je, Atarudisha tena Bungeni...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ludewa wamshukuru Rais Samia kuidhinisha bilioni 977 kuboresha elimu

    Wilaya ya Ludewa inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imepokea fedha hizo...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Yoweri Museveni amelazwa ICU

    Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na taarifa kutokea twitter zikidai kwamba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amelazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. Je, kuna ukweli wa taarifa hii?
  11. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Samia hawezi kuaminika tena, amejipa doa sugu

    Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa! Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho. La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

    Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa. Niongeze volume? Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

    Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote. Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
  18. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

    Wiki hii Tanzania imekuwa na aJenda moja kubwa tu kuanzia vijiweni, kwenye vyombo vya habari, kwenye vyombo vya usafiri mpaka kwenye sehemu za kupiga pombe. Kila mmoja amekuwa akijadili mkataba ulioridhiwa na Bunge leo kati ya Serikali ya Tanzania na ile ya UAE kuhusu masuala ya uendeshaji na...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko. Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
Back
Top Bottom